nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
teh teh, zanzibar ni sawa na wilaya tu huku bara! Chadema wamefanya favor tu kwa zanzibar!Chadema wanaijuwa leo Zanzibar, hebu waangalie wamefanya nini cha maana katika Zanzibar tokea CDM iasisiwe?
Si walisema wao hawana hata mipango ya kampeni Zanzibar sababu hawaitambui Zanzibar kama jimbo la uchaguzi ukilinganisha na majimbo ya Bara.
Mkuu mbona unawasha wenge au kwasababu nimekueleza ukweli kajipange upya nani muongo?
teh teh, kwa hiyo unataka chama la kiislamu?Wewe ni panya unang'ata na kupuliza Unajifanya muungwana kumbe hamna lolote hili li chama lenu la kikristo hatulitaki huku Zanzibar
Nashukuru sn Mkuu lkn kauli zako ndiyo zinadhihirisha jinsi ulivyo!
Ata ccm haitakiwi Znz. Nimekaa Znz naielewa vizuri! Kwahiyo wewe ndio kigeugeu!
haaa haaa haaa haaa!Huyu anaejiita THE BIG CHOO hakuzaliwa kutoka kwenye uke wa mwanamke bali alizaliwa kwa kupitia makarioni'i mean hili lijitu lilizaliwa kwa kujambwa. Maana kama angekuwa amezaliwa kama tulivyozaliwa sisi wengine basi asingekuwa anapost upumbavu huu kila siku.
Mkuu Khawarizm
Niliposoma kichwa cha habari cha huu uzi nikafungua kwa haraka kuona hizo ajira kumbe ni usanii tu. Si mwambie huyu jamaa yao huwa anakaa mbele na Mbowe kwenye kamati kuu awatafutie jamaa yake wampe hiyo ajira. Tundu Lissu alishasema Zanzibar ni kama jimbo la ubungo hawana shinda na Zanzibar kulikoni leo.
teh teh, kwa hiyo unataka chama la kiislamu?
Nani amekwambia mimi ni CCM usinilishe maneno kamanda ukigeugeu wangu uko wapi? ukweli unauma ehhh!
Kwani nyie magamba mnashida gani cdm ikitangaza nafasi za kazi?jiandaeni kujibu watz kuhusu utekelezaji wa ilani yenu.
Wewe ni panya unang'ata na kupuliza Unajifanya muungwana kumbe hamna lolote hili li chama lenu la kikristo hatulitaki huku Zanzibar
teh teh, zanzibar ni sawa na wilaya tu huku bara! Chadema wamefanya favor tu kwa zanzibar!
Chadema wanaijuwa leo Zanzibar, hebu waangalie wamefanya nini cha maana katika Zanzibar tokea CDM iasisiwe?
Si walisema wao hawana hata mipango ya kampeni Zanzibar sababu hawaitambui Zanzibar kama jimbo la uchaguzi ukilinganisha na majimbo ya Bara.
Wewe Km Sheikh ulikuwa unapaswa kusimamia umoja wetu na upendo! Lkn ndio kwanza unaanza kusema vitu vya ajabu! Inasikitisha sn kua ktk Jamii Km Hii!
Molemo, mbona unafilisika kisiasa mdogo angu? Utahangaika sana.
umesema ajira zimemwagwa, mbona ajira yenyewe ni moja tu? Any way kule hamna akina mangi jaribuni baadaye
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.
Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.
Kwani ukiwa sheikh hiruhusiwi kukemea mabaya,ukweli tutausema daima kamanda
Umoja upi unaozungumzia wakati nyie ndio munaotuita sisi mzigo mnatubeba hatutaki unafiki tuacheni tupumue.
Hii kauli ya PANYA inanikumbusha mambo ya Libya! Walibya waliitwa PANYA!
Sheikh Faridi asante sn bhana!