dakika ya 89 hyo kaka ccm wako nyuma kwa bao1
Wamechelewa! ccm wanakumbuka shuka kumekucha
Comrade na umesahau kwamba wanacheza pungufu maana wachezaji wao watatu wametolewa kwa kadi nyekundu "Lowasa,Maide,mkulo," tehe tehe tehe wamekwisha hawa wehu
hivi kwa nini huna hata tone la hurumma dhidi ya hiki chama huu mpango wangelipanga hivyo sidhani kama bajeti za chai zingepita maana wapitishaji wote wangekuwa kujibu mapigo ya M4CNatamani CDM waendelezi mikutano yao ya M4C kipindi cha vikao vya bunge,na hapa ndiyo watajua faida ya Dr Slaa na Lema kuwa nje ya Bunge.Lazima watatoroka na kukimbilia kujibu hoja za CDM.
yaani CCM ni sawa na timu ambayo beki hazikabi yaani kila dakika mpira uko golini kwao