CHADEMA yamoga kung’atuka uchagani

CHADEMA yamoga kung’atuka uchagani

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,195
Reaction score
41,732
Uwa nikiandika wananinanga sana
1. Nilisema kuhusu Mbowe kuachia madaraka nikakangwa
2. Nikasema uhuni wa kumpeleka Lowassa CDM nikanangwa
3. Nikasema Covid 19 Mnyika na Mbowe walipanga nikanangwa
4. nikaandika kwamba Covid 19 hawatafukuzwa CDM ni kiini macho watu wakaninanga sana !

Kwa sasa CHADEMA SI TUMAINI LA WATANZANIA TENA NI LA WACHAGA

Narudia hata wachaga baadhi nao wamesema inatosha sasa!

Tanzania tunacheza Ana sana

Britanicca
 
Tundu Lissu ni mwarobaini wa magonjwa yote CHADEMA
 
Mbowe atulie sasa ameshakula mema sana, waachiwe wengine waongoze chama kama alivyofanya Zitto.
 
Chadema ni CHAMA cha wachaga mkuu, top leaders wote ni wachaga, alafu kiongozi wao hataki kutoka madarakani
 
Uwa nikiandika wananinanga sana
1. Nilisema kuhusu Mbowe kuachia madaraka nikakangwa
2. Nikasema uhuni wa kumpeleka Lowassa CDM nikanangwa
3. Nikasema Covid 19 Mnyika na Mbowe walipanga nikanangwa
4. nikaandika kwamba Covid 19 hawatafukuzwa CDM ni kiini macho watu wakaninanga sana !

Kwa sasa CHADEMA SI TUMAINI LA WATANZANIA TENA NI LA WACHAGA

Narudia hata wachaga baadhi nao wamesema inatosha sasa!

Tanzania tunacheza Ana sana

Britanicca
Ccm issue ya Tundu Lissu kugombea uenyekiti inawapa insomnia
 
Naungana nawe ,tumechoka na huyu Mzee aisee,tulizani tutakuwa na christma njema ila limesshaonesha dalili ya kutaka kurudi madarakani .SHAME
Ni shida sana mkuu, I'li takiwa akae pembeni, apishe mawazo mapya,
 
Mbowe aelewe tuna mzoom...chama kimebeba matumaini ya watu, asiangalie kamati kuu tu inaamua nini kwenye uchaguzi,aangalie kukubalika kwake kwa wananchi walio na chadema wasio chadema!...anaheshimika ila wengi wanataka uongozi wa Lissu,ukweli wooote wanaujua, usidharau maoni ya wengi!
 
Astaafu Tu Kwa heshima...sio mpaka aondolewe madarakani anachafua Chama .....
 
Mbowe ameshindwa kukivusha chama haukumiwi kwakua mchaga bali kwa udhaifu wake kusimama imara...Mbowe 2005 alikua na maono ya kiukombozi ila Kadri siku zinavyozidi kwenda hana tena shauku ile aliyokua nayo miaka 19 iliyopita.
 
Back
Top Bottom