Naona mnakula hela za Adbdul.Uwa nikiandika wananinanga sana
1. Nilisema kuhusu Mbowe kuachia madaraka nikakangwa
2. Nikasema uhuni wa kumpeleka Lowassa CDM nikanangwa
3. Nikasema Covid 19 Mnyika na Mbowe walipanga nikanangwa
4. nikaandika kwamba Covid 19 hawatafukuzwa CDM ni kiini macho watu wakaninanga sana !
Kwa sasa CHADEMA SI TUMAINI LA WATANZANIA TENA NI LA WACHAGA
Narudia hata wachaga baadhi nao wamesema inatosha sasa!
Tanzania tunacheza Ana sana
Britanicca