Hii ni muhimu sana. wote wanajua umuhimu wake Rugemeleza Nshala Erythrocyte
Hao wako na washauri, wabia, wadhamini, viongozi na wanasheria.Barua ya Msajili waeijibu kwanza? Maana walikuwa wanazunguka mitaani kwa kauli za kupuuza maelekezo ya Msajili.
Believe Me, hiyo Kesi Mahakama itai struck out, Ili wakajibu barua ya Msajili kwanza.
Yale Yale ya Yanga kwenda CAS Kisha kuambiwa rudini kwanza mkamalize taratibu za ndani.
Kwani Covid 19 waliweka hiyo Injuction? au walikataa rufaa tu?Hii ni muhimu sana. wote wanajua umuhimu wake Rugemeleza Nshala Erythrocyte
Don’t worryHii ni muhimu sana. wote wanajua umuhimu wake Rugemeleza Nshala Erythrocyte


Chuo ulichosoma; warudishie cheti chao maana ulitoka mtupu; mweupe. Kwahiyo Chama kutekeleza maagizo ya msajiri Ndiko kuweweseka?. Ulitaka wafanye kinyume chake ili kitokee nini?Kwenda mahakamani ni kukosa maono na uelewa, lakini pia ni kwenda kujimaliza na kujifedhehesha tu kisiasa.
Kwanini mmewakaimisha nafasi za uongozi, ikiwa walipewa nafasi hizo kihalali na baraza kuu la chadema lililotimiza akidi inayotakiwa kwa mujibu wa kaitba ya chadema January 2025?
Kwanini baraza kuu linaitishwa tena kuja kuwathibitisha hao wanao kaimu nafasi hizo ikiwa walikua ni viongozi walioteuliwa kihalali? Huko si kutekeleza maagizo na maelekezo ya msajili wa vyama vya siasa kiana ndrugo zangu? msione aibu bana
Kwasasa,
chadema ina wewewseka na kutapatapa mno kisiasa kuliko wakati mwingine wowote. Haijui ishike lipi kama agenda yake muhimu au iache lipi. Zaidi sana, mwenyekiti wao anaesota korokoroni sio issue wala agenda tena ndani ya kamati kuu na huenda hoja za kumuengua kabisa kwenye nafasi hiyo zikaanza kuibuka ndani ya chama hicho cha kisiasa kilichopoteza uelekeo nchini.
Una maoni gani kuhusu null and void move ya chadema, kutii na kutekeleza maelekezo ya msajili wa vyama vya siasia na hapo hapo wanaenda mahakamani kuyapinga?
Mungu Ibariki Tanzania
My Take
Njaa ni mbaya sana ila Kuna nyumbu wanatumiwa kutengenezea maisha wengine.😂😂😂
Tulikubaliana tonetone inatosha ,mahakamani mnaenda kudai ruzuku ya nini Sasa?
Msiposhiriki uchaguzi itakuaje ? 😬😬😬😬👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DKewBHQixIf/?igsh=MTF6d2xpbTFldWNhcw==
AKIWA MWANZA MROPOKAJI HECHE ALISEMA MSIMAMO WA CHADEMA NI KWAMBA HAITAFUATA MAAGIZO YA MSAJILIChuo ulichosoma; warudishie cheti chao maana ulitoka mtupu; mweupe. Kwahiyo Chama kutekeleza maagizo ya msajiri Ndiko kuweweseka?. Ulitaka wafanye kinyume chake ili kitokee nini?

Unadhani aliyetamka kwamba hana shida ya ruzuku lakini Sasa ananda mahakamani nini kimemkuta? 🤣🤣Wamekwambia imeyeyuka?
Sasa hivi anaenda kudhalilikaMutungi ana tungwa
Nimekwelewa hasa hapo kwenye mapandikozi. Watatumia gharama yeyote mpaka mkutano uvurugikeMwenyekiti ambaye ndiye anatakiwa kusimamia show yupo ndani..
Pili kuanza kukusanya maelfu ya watu sio shughuli ndogo na ni gharama pia.
Tatu kwa Tension iliyopo sasa inaweza kutoa mwanya kwa maadui zao kupenyeza agenda ovu na hatimaye kuzuka sokomoko kwenye vikao.