Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Samahani Mkuu nimekuelewa sasa tuko pamoja, usijali CDM mbele kwa mbele!!!!
Hiki unachokisema hapa hakihusiani punge na hoja hoja yangu ambayo niliijenga kutokana na mabandiko ya hao wanajanvi waliokuwa wanataka kuharalisha kilichofanywa kimakosa na CCM na kudai CHADEMA nao wako entitled kukifanya.Si suala la kwamba ccm wamefanya ama hawajafanya, muhimu ni kuangalia kama ushirikiano huo una athari gani kwa chama chetu ama nchi yetu. Vyama vya siasa duniani kote vinashirikiana katika nyanja mbalimbali kadri ya mahitaji ya kila chama na nchi husika.
Lakini najua ninyi mliolishwa nyamafu na ccm huwa mkiona jambo limefanywa na Chadema hamuachi kutokwa na mapovu. Kila jambo linalofanywa na Chadema huwezi kulifananisha na jinsi ccm wanavyolifanya ama kutaka kuigeuza ccm kuwa ndio msahafu huo ni ufinyu wa fikra.
Na kuna mambo mengi ambayo yanafanywa na ccm si kwakuwa ni ccm bali kwakuwa ndivyo mfumo wa maisha ulivyo ama mfumo wa kijamii unavyotaka na si suala la ccm. Ukweli ni kwamba ccm hawajawahi kuasisi kitu chochote ambacho kimeweza kutumiwa kama mfano huko duniani kwahiyo jaribuni kupanua akili yenu kutooona kila kitu kwa miwani ya ccm.
Tanzania yapongezwa kwa kutatua migogoro AfrikaNa kuna mambo mengi ambayo yanafanywa na ccm si kwakuwa ni ccm bali kwakuwa ndivyo mfumo wa maisha ulivyo ama mfumo wa kijamii unavyotaka na si suala la ccm. Ukweli ni kwamba ccm hawajawahi kuasisi kitu chochote ambacho kimeweza kutumiwa kama mfano huko duniani kwahiyo jaribuni kupanua akili yenu kutooona kila kitu kwa miwani ya ccm.
Mnanikumbusha tulivyomsimika Rais wa Comoro.
Mbona tumesaidia kwa Kabila chini ya Banyamulenge tukamtoa Mobutu.
Mbona misaada ni Kawaida jamani.
Ccm ilishaenda malawi na kupeleka bend yao chini ya komba kwajili ya kumpigia kampeni bakili muluzi, ndio huko wakapewa ile sem tela wanayozunguka nayo,. Kipindi icho we ulikua mfuga mbuzi kijijini kwenu kabla hujavamia siasa kwa pupa
Wakenya walitakiwa waongozwe na MudavadiI support Uhuru Kenyatta hata kama me ni chadema damu
wee mshamba mimi ndio nimeyasafirisha magari yake ya kampeni mie sie kujikomba kama wewe, kapige mswakiKwa sababu uko UK ni lazima useme kwamba unayajua magari ya Odinga. Pfyuuuuuuuuuuuuuuuu
Mnanikumbusha tulivyomsimika Rais wa Comoro.
Mbona tumesaidia kwa Kabila chini ya Banyamulenge tukamtoa Mobutu.
Mbona misaada ni Kawaida jamani.
Odinga ni mtu tajiri sana hahitaji msaada wa mafuso, magari yake ya kampeni ninayajua vizuzri na aliagiza yote kutoka UK
CCM ilishaenda Malawi na kupeleka bend yao chini ya Komba kwajili ya kumpigia kampeni Bakili Muluzi, ndio huko wakapewa ile sem tela wanayozunguka nayo,. Kipindi icho we ulikua mfuga mbuzi kijijini kwenu kabla hujavamia siasa kwa pupa
Kama habari hii ni ya kweli, CHADEMA wamefanya kitu cha kipuuzi na kipumbavu.
wee mshamba mimi ndio nimeyasafirisha magari yake ya kampeni mie sie kujikomba kama wewe, kapige mswaki
Odinga atakua rais wa kenya 2013-2016.