master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Padri hajawahi kushinda uchaguzi usipotoshe jamii
Kawaulize wafuatao kukata mzizi wa fitina;
- Tume ya uchaguzi ya muishiwa dhaifu.
- Usalama wa Taifa (TISS).
- Bwana maendeleo "fastjet".
- Wapiga kura
Padri hajawahi kushinda uchaguzi usipotoshe jamii
Asante sana Mkuu Raia Fulani!! Tena nakumbuka kabisa alifika na serikali ya SSM haikuonesha kumpa stahili sana!! Anyway alikuwa kama persona friend wa Magufuli!!! Ha ha ha!! Ukiona hivyo jua SSM inasupport mwingine kule!! Hawana mashiko na Raila!! Na ndiyo maana mleta mada anatoka huko huko!! Ha ha ha!! Raila is the next Kenyan President!! Pendeni msipende!!Namwona odinga akiwa rais wa kenya kwa ushirika na martha karua. Sijajua athari za urafiki na cdm ila nakumbuka pia kuwa odinga alishakuja tz kwa mwaliko wa magufuli. Magufuli alishahudhuria pia kampeni za odinga huko kenya
Hata CCM walipojitumbukiza kwenye kampeni za Malawi wengine tulilaani kitendo hicho. Hatuwezi kufumbia upuuzi huo kwa kuwa tu sasa umefanywa na CDM. Narudia tena, kama habari ni ya kweli, wamefanya upuuzi na upumbavu.Kama SISIM kule malawi eee.
Ccm ilishaenda malawi na
kupeleka bend yao chini ya komba kwajili ya kumpigia kampeni bakili
muluzi, ndio huko wakapewa ile sem tela wanayozunguka nayo,. Kipindi
icho we ulikua mfuga mbuzi kijijini kwenu kabla hujavamia siasa kwa
pupa
Hakuna tatizo katika hilo. Hicho Chadema ni chama cha siasa na haiwakilishi serikali. Iwapo serikali ingejitokeza na kumsaidia au kuonyesha support kwa mgombea fulani hapo kungekuwa na tatizo.
Acha pumba zako!unafikiri angekuwa shehe ndio angeshinda?Padri hajawahi kushinda uchaguzi usipotoshe jamii
Mkuu Kubwajinga!! Ha ha ha!!! Mbona nyie mnatoa hela na mbinu za kuiba kura kwa nchi nyingine? Kwa usalama wa maisha yangu ngoja nisizitaje? Tena tuipongeze CDM kwa kushabikia wazi kwa msaada wa magari na msanii!! Nyie mipango ya mafia ya uchakachuaji si mnaenda kufundisha!!! Hivi wakati ule lile Gari la TOT lienda malawi likitumwa na Chama lilienda kufanya nini vile!!!?? Fanya utafiti kwanza mkuu!!
Kwa hiyo Islamic Coalition Party ya Iran ikiwatumia CCM helcopta 20 na pesa $100,000,000 ili washinde uchaguzi 2015 wewe utajisikiaje?
Mmmm, kwani kuna ubaya gani, na wao si wakasaidie KANU.ODM na CHADEMA vyote viko kwenye ule muungano unao itwa IDU, International Democratic Unuon, na moja ya shabaha zao ni kusaidiana kwenye kampeni, Tatizo watu wanaongea bila kutumia akili watu wana Ubongo wa Konokono
I support Uhuru Kenyatta hata kama me ni chadema damu
Zogwale,
Nashukuru kwa udadisi wako. Naomba tujibu hoja kwa kuangalia zaidi athari za matendo yetu ya sasa vs ya zamani. Kama tulisalimika kwa upuuzi wa CCM miaka iliyopita, basi tushukuru Mungu, lakini hilo isiwe ndio kibali cha kuendeleza uzembe. Tusikubali kuburuzwa kuwa kwa vile CCM walifanya basi CDM nao wafanye hivyo hivyo. Kama ndio walivyo CDM, kuna haja gani ya kuiondoa CCM kama CDM watafanya yaleyale? Mimi sina chama, nashabikia taifa. Tuendelee na mjadala.
ODM na CHADEMA vyote viko kwenye ule muungano unao itwa IDU, International Democratic Unuon, na moja ya shabaha zao ni kusaidiana kwenye kampeni, Tatizo watu wanaongea bila kutumia akili watu wana Ubongo wa Konokono
Kama habari hii ni ya kweli, CDM wamefanya kitu cha kipuuzi na kipumbavu.
Padri hajawahi kushinda uchaguzi usipotoshe jamii
Vyama vyenye Mlengo mmoja huwa wanasaidiana sana na hii inajulikana kimataifa, Acheni Kukariri mambo hapa, na hata ODM wakishindwa haina athari yoyote kwa sababu CHADEMA ilisapoti kama Chaama, mbona iko wazi sana na inajulikana sana na hata JUBLIE hawaweza piga kelele kwa sababu ni kitu kinajulikana kabisa, hapa hakuna siri yoyote, Serikali kusapoti mgombea wa Chama Kingine ndo balaa. ila chama kwa chama haina shida
Nukuu toka WikipediaThe International Democrat Union (IDU) is a centre-right international alliance of conservative, Christian democratic and liberal-conservative political parties.
Chasa,
Mimi ni CDM na sijawahi kuwa mwana CCM. Upuuzi uliofanywa na CCM Malawi hauwezi kuhalalisha upuuzi mwingine kufanywa na CDM Kenya.WanaCCM hamna kumbukumbu kabisa, yaani mmesahamu mlichokifanya Malawi!