Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
- Thread starter
-
- #41
Vyma vinavyo saidiana ni Vile vyenye Mlengo unao fanana tu, na hua Ni vyama kwa Vyama na Sheria za Kimataifa zinaruhusu hivyo, Vyma kwa Vyama ila Si Serikali isapoti Mgombea Urasi Fulani hiyo inakuwa nu kuvunja sheria,
So CHADEMA inasapoti ODM kama Chama, na hata CCM husapoti vyama vingine kama Chama, na Serikali ya Tanzania haijawahi pigia Kampeni mgombea yoyote au kumuunga mkono mgombea yoyote yule, Ila CCM huwa inafanya hivyo kwa sababu milengo yao inafanana, na hii ishu inajulikana kimataifa na si kwamba iko hapamAfrica pekee
Ccm ilishaenda malawi na kupeleka bend yao chini ya komba kwajili ya kumpigia kampeni bakili muluzi, ndio huko wakapewa ile sem tela wanayozunguka nayo,. Kipindi icho we ulikua mfuga mbuzi kijijini kwenu kabla hujavamia siasa kwa pupa
CCM mlipopeleka kikundi chenu cha TOT kumsaidia Bakili Muluzi kule Malawi ilikuwa sawa tu eeh??Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha!
Mkuu Kubwajinga!! Ha ha ha!!! Mbona nyie mnatoa hela na mbinu za kuiba kura kwa nchi nyingine? Kwa usalama wa maisha yangu ngoja nisizitaje? Tena tuipongeze CDM kwa kushabikia wazi kwa msaada wa magari na msanii!! Nyie mipango ya mafia ya uchakachuaji si mnaenda kufundisha!!! Hivi wakati ule lile Gari la TOT lienda malawi likitumwa na Chama lilienda kufanya nini vile!!!?? Fanya utafiti kwanza mkuu!!
Kama SISIM kule malawi eee.
Kweli kabisa mkuu, tena baada ya hizo kampeni Komba akapewa zawadi ya shule. Kuna Shule hipo kule mbweni inaitwa Bakili Muluzi Sec. inamilikiwa na huyu komba...
WanaCCM hamna kumbukumbu kabisa, yaani mmesahamu mlichokifanya Malawi!
Democrat Union of Africa (DUA)
[TD="width: 300"] Angola |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
| [TR] [TD] [TD="width: 5"] | |
Mmmm, kwani kuna ubaya gani, na wao si wakasaidie KANU.
Hakuna sheria inayosema kuwa vyama vinavyosaidiana lazima vifanane. Msaada ni msaada tu na ni kwa maslahi ya mtoaji. Kwa hiyo kama ni sawa kwa CDM kutoa au kupokea misaada toka nje ya nchi, je itakuwa vibaya kwa Rostam Aziz kuwaomba wa-Iran wenzake kuisaidia CCM?
The International Democrat Union (IDU) is a working association of over 80 Conservative, Christian Democrat and like-minded political parties of the centre and centre right.
Through the IDU, member Parties can exchange policy ideas, assist each other to win the political argument, and to win elections.
Kwa hiyo vyama vya Iran, Pakistani n.k. vyenye kushabikia mahakama za kiislam vikiisaidia CCM kwako itakuwa sawa?Mkuu nimesema kisicho Ruhusiwa ni Serikali kufadhili chama fulani, Ingawa Mataifa makubwa kama USA wanaweza fanya hivyo ila ni kwa siri sana kiasi kwamba hakuna atakaye jua, kwa sababu hata wao wanajua nikuvunja sheria,
Vyama vinavyo saidiana ni vile vyenye mlengo unao fanana na kwa Kenya kwa sasa CCM haina wa kusapoti kwa sababu KANU hakipo tena, itakuwa ni vichekesho CCM kusapoti chama cha Uhuru kwa sababu hawafanani kwa chochote, so CCM vyama rafiki ni vile vyote vilivyo pigania uhuru ingawa kuna vingine kama chama cha Kikomonist cha China na kazalika,
Kwa Africa vyama rafiki vya CCM vimabakia vichache sana make vingi visha Pukutishwa kama vile KANU
Niliposema kuwa TOT walienda kumfanyia kampeni Muluzi nadhaniunaenlewa namaanisha nini,kwa wakati ule yale matuck makubwa ndio yalikuwa yanatumiaka kwenye kampeni hivyo hakuna tofauti hapo.Joseph,
Kama walienda kusaidia Muluzi ashinde, hilo nalo halikuwa jambo sahihi. Lakini kama walienda tu kama wasanii, hiyo ni tofauti kidogo. Lakini CDM wanapotuma rasilimali, hapo nafikiri tunavuka mipaka.
Je tutamlaumu vipi Kikwete kwa kupewa pesa na Iran wakati CDM nao wanajifanya kuwa ka-Irani kadogo nchini Kenya?
Katika dunia hii kama mpaka leo hujui vyama duniani vinafanya nini ni bora ukakaa kimya kuliko kutoa angalizo tu,jiulize kwenye mikutano unapoalika vyama rafiki kuhudhuria huwa ina maana gani?Tafakari.Mnapojenga hoja hapa, jaribuni kuangalia pia athari zake.
Kwa hiyo mnataka kutuaminisha kuwa CHADEMA inafanya kile ambacho CCM walikifanya kwa Malawi?.
Kama hivyo ndivyo, Sasa kipi ni tofauti ya CHADEMA na CCM kama vyote vinafanya vivyo hivyo kwa maana kwamba hata madudu ya CCM nao CHADEMA kikiingia madarakani kina ruhusa kuyafanya pia kwa vile CCM kiliyafanya.
"Mimi sijasema" , hoja zenu ndiyo zinasema.
Ni angalizo tu.
Niliposema kuwa TOT walienda kumfanyia kampeni Muluzi nadhaniunaenlewa namaanisha nini,kwa wakati ule yale matuck makubwa ndio yalikuwa yanatumiaka kwenye kampeni hivyo hakuna tofauti hapo.
Tukumbuke kuwa kuna uhusiano wa vyama mbalimbali duniani na huwa wanasaidiana katika mambo mbalimbali kama vyama,kwa mfano chana cha ANC cha Afrika Kusini kinaweza kutoa msaada wa aina yoyote kwa chama rafiki CCM vivo hivyo kwa CHADEMA kama wanaweza kutoa msaada kwa chama rafiki Kenya sioni tatizo.
Leo nenda kaivamie nchi iliyo katika muungano wa NATO utaona kama nchi rafiki zitakuacha.
I support Uhuru Kenyatta hata kama me ni chadema damu
Kuhudhuria na kusaidia kwenye kampeni ni vitu viwili tofauti kabisa. Kuhudhuria hakumaanishi kuwa active kwenye maswala ya huyo aliyewaalika zaidi ya kuwa mtazamaji. Kujihusisha kwenye maswala ya kampeni ni kuvuka mipaka ya kuwa mtazamaji na kuwa ni muhusika hai. Katika macho ya mahusiano ya kimataifa na dipromasia, hili ni kosa.Katika dunia hii kama mpaka leo hujui vyama duniani vinafanya nini ni bora ukakaa kimya kuliko kutoa angalizo tu,jiulize kwenye mikutano unapoalika vyama rafiki kuhudhuria huwa ina maana gani?Tafakari.
CCM mlipopeleka kikundi chenu cha TOT kumsaidia Bakili Muluzi kule Malawi ilikuwa sawa tu eeh??Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha!
Odinga ni mtu tajiri sana hahitaji msaada wa mafuso, magari yake ya kampeni ninayajua vizuzri na aliagiza yote kutoka UK
Swali la pili nadhani umelijibu tayari maana ushirikiano unategemea mnashirikiana katika nini hivyo hata katika siasa kuna suala la kusaidia katika rasilimali pia kama inaonekana inafaa ili mradi tu sheria zisivunjwe.
- Kwa hiyo kwa vile CCM ni wala rushwa, CHADEMA nao wakipata madaraka itabidi wafanye kama CCM?
- Nchi za NATO ushirikiano wao ni wa kijeshi, lakini hata siku moja hawachangii vyama pinzani vya nchi nyingine, kwani huko ni kuingilia demokrasia ya nchi nyingine.
- ​Je utafurahi demokrasia yetu ikiingiliwa na watu wasio raia wa Tanzania?
Meza nyembe Mkuu hiyo ndiyo M4C, inaonekana umekereka!!!Acheni udaku jaman kila kukicha Chadema Chadema,ama kweli imewashika....