Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.


Maneno haya ungekuwa unaongea wewe na vichaa wenzio mngeelewana unatuchosha bure chizi wewe
 


Umeonaeeeeeeee!!

Acha kuongea pumba!
 
Nia yako tusahau kuangalia filamu ya kova
hatudanganyiki we are for season 2
 
mods naomba ruhusa ya kuwatukana waunga huja na mtoa mada hii
 
Eeh, imekuwa Chadema tena!Nyie si ndio mlitaka kuwatumia Al-shaabab wawadhuru Chadema last Uchaguzi, nyie jipendekezeni nao, Dunia itawafunza adabu!
 
Nimeamini wapenzi wengi wa CDM wapungufu wa akili na kutaka umaarufu wa kijinga hivi watu wamepoteza roho bado siasa zimewakaa kichwani haiwi wabunge wenu wametoka bungeni baada yule () kukataa kughairisha kiufupi hamueleweki i hate this union and cdm
 

Great thinker service ya kio inafanyikaje?
 

Matatizo ya degedege la utotoni nikifuatiwa na tetekuwanga la ukubwani!
 
Mods wangekuwa wanapeleka vitu kama hivi kwenye jukwaa la utani/jokes...
 

Mbaazi zikikosa......husingizia jua
 
Alafu Cdm mmetoka nje ya ukumbi leo kutaka umaarufu. Ngoja kesho mtamkoma Mama Ana Makinda, na Mabumba.
 
namuonea huruma mwakyembe mara ndege mara wameiba mafuta kwenye treni mara meli,.,,,,,hii ni dalili za laana ya ccm
 


.



.
.




Kweli I see, mie jana jioni niliiona ile meli maeneo ya Kwamtogole ....watu waliokuwa wamevaa magwanda walikuwa wanatoboa kwa chini matindu madogomadogo...nadhani waliiba bandarini wakairudisha asubuhi sana!!
hawajamaa wabaya sana hawa!!

Hayo matundu ndiyo yaliyo zamisha ile meli!!




.


Kova, Zoka, kamata hao!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…