CHADEMA yakwamisha Ujenzi wa maabara Tarime-Mara

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Kutoka uchambuzi wa magazeti ya leo, imeripotiwa kuwa Chadema wakwamisha ujenzi wa ujenzi wa maabara Tarime-Mara.

Ikumbukwe kuwa Chadema wamekuwa wapingaji wa shughuli za maendeleo kwa kile wanachodhani kwamba serikali itafanya kila kitu.

Uvivu huu wa chadema wa kufikiri umekifanya chama hiki kuwa wapangaji kwa muda wa miaka zaidi ya 22 hawana hata kaofisi ka kujenga kwa nguvu zao.

Mliopo kwenye chama hiki jitafakarini. Chama kinachopalilia uvivu kiasi hiki ni chama cha kukuza umasikini Tanzania. Hebu jifikirie hata wewe unakuwa mpangaji miaka 22 hadi mtoto anamaliza chuo kikuu huku hujakosa pesa bali kuwa na mfumo mbovu wa kujiendesha.

Kimbia chadema kuepuka umasikini unatokana na uvivu hasa wa kufikiri.
 
Naona sijui ulikuwa na ugomvi na mme wako kaoshe vyombo

swissme
 
Hujanishawishi, hoja dhifu sana hii, wewe kwa akili zako umeona ofisi ya chama ni muhimu sana kwako kuliko ofisi ya serikali,

Kwanza inavyoonekana hukusoma vitabu vya "juma na roza" wewe.
 
Kutoka uchambuzi wa magazeti ya leo, imeripotiwa kuwa Chadema wakwamisha ujenzi wa ujenzi wa maabara Tarime-Mara.

Ikumbukwe kuwa Chadema wamekuwa wapingaji wa shughuli za maendeleo kwa kile wanachodhani kwamba serikali itafanya kila kitu.

Uvivu huu wa chadema wa kufikiri umekifanya chama hiki kuwa wapangaji kwa muda wa miaka zaidi ya 22 hawana hata kaofisi ka kujenga kwa nguvu zao.

Mliopo kwenye chama hiki jitafakarini. Chama kinachopalilia uvivu kiasi hiki ni chama cha kukuza umasikini Tanzania. Hebu jifikirie hata wewe unakuwa mpangaji miaka 22 hadi mtoto anamaliza chuo kikuu huku hujakosa pesa bali kuwa na mfumo mbovu wa kujiendesha.

Kimbia chadema kuepuka umasikini unatokana na uvivu hasa wa kufikiri.

CHADEMA inaelekea zi zimwi baya kabisa na linalotisha mbele ya ccm,
 
Wakati wanafikiri wanawakomesha CCM, kumbe wanawakwanisha wananchi na si muda mrefu hao wanaowasikiliza wataona tofauti yao na wananchi wasikivu waliojitolea kuchaangia ujenzi wa maabara na shughuli zingine za ujenzi wa taifa!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDIZI!
 
wakati wanafikiri wanawakomesha ccm, kumbe wanawakwanisha wananchi na si muda mrefu hao wanaowasikiliza wataona tofauti yao na wananchi wasikivu waliojitolea kuchaangia ujenzi wa maabara na shughuli zingine za ujenzi wa taifa!
Kidumu chama cha mapindizi!

kidumu chama tawala miaka 500 ijayo.
 
Kutoka uchambuzi wa magazeti ya leo, imeripotiwa kuwa Chadema wakwamisha ujenzi wa ujenzi wa maabara Tarime-Mara.

Ikumbukwe kuwa Chadema wamekuwa wapingaji wa shughuli za maendeleo kwa kile wanachodhani kwamba serikali itafanya kila kitu.

Uvivu huu wa chadema wa kufikiri umekifanya chama hiki kuwa wapangaji kwa muda wa miaka zaidi ya 22 hawana hata kaofisi ka kujenga kwa nguvu zao.

Mliopo kwenye chama hiki jitafakarini. Chama kinachopalilia uvivu kiasi hiki ni chama cha kukuza umasikini Tanzania. Hebu jifikirie hata wewe unakuwa mpangaji miaka 22 hadi mtoto anamaliza chuo kikuu huku hujakosa pesa bali kuwa na mfumo mbovu wa kujiendesha.

Kimbia chadema kuepuka umasikini unatokana na uvivu hasa wa kufikiri.

CDM walivyo wavivu wameenda kuazima BVR kits Nigeria na Kenya........
 
Kile chama ni cha familia ya mtei na makao makuu ni nyumba ya mtei wanalipa kodi kwa familia ya mtei na mbowe ni mkwe wa mtei ameoa mtoto wa mtei na ruzuku ni mishahara ya familia ya mtei & co.
 
Kwa kuwa mwenyekiti wa chama taifa ni STD VII na hakuwahi kufika mahabara kujifunza jambo lolote basi haoni umuhimu wa taifa kunufaika na elimu inayopatika maabara.
 
ndiyo serikari ifanye kila kitu kwasababu ina dhahabu ,gesi;bandari;misaada;madini ya kila aina.vipi viongoi turiowajiri wawe na pesa nyingi kiasi cha kununua wananchi watanzania wote.lakini hakuna wakuwauriza.ira kujenga maabara na maendeleo mengini tushirikishwe.wambieni hao mafisadi wafanye wawo yote ndio wenye pesa!
 
Hoja dhaifu kutoka kwa mtu dhaifu na mshirika wa chama kilicho dhaifu.
 
Kutoka uchambuzi wa magazeti ya leo, imeripotiwa kuwa Chadema wakwamisha ujenzi wa ujenzi wa maabara Tarime-Mara.

Ikumbukwe kuwa Chadema wamekuwa wapingaji wa shughuli za maendeleo kwa kile wanachodhani kwamba serikali itafanya kila kitu.

Uvivu huu wa chadema wa kufikiri umekifanya chama hiki kuwa wapangaji kwa muda wa miaka zaidi ya 22 hawana hata kaofisi ka kujenga kwa nguvu zao.

Mliopo kwenye chama hiki jitafakarini. Chama kinachopalilia uvivu kiasi hiki ni chama cha kukuza umasikini Tanzania. Hebu jifikirie hata wewe unakuwa mpangaji miaka 22 hadi mtoto anamaliza chuo kikuu huku hujakosa pesa bali kuwa na mfumo mbovu wa kujiendesha.

Kimbia chadema kuepuka umasikini unatokana na uvivu hasa wa kufikiri.

Hawa Chadema wanatumia fedha za umma kununua mboga za 10 mil badala ya kujenga maabara. Ni Chadema hawa hawa wamenunua mabehewa fake kule TRL; na hawakuishia hapo ni Chadema ndio wamenunua kivuko kilichoharibika kabla ya kutumika.

Hawa Chadema wabaya sana.
 
Back
Top Bottom