CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM kwa masharti

Kawatoa tayari. Si umemuona Leo katika press yake!?
CHADEMA wakubali wamekosea Kumjibu

..umesikiliza majibu yake?

..hujaona anavyoji-expose kuwa ni mjinga.

..Na hapo yuko peke yake, akikutana ana kwa ana kwa ana na mtu wa upinzani hataweza kusimama kwa hoja.
 
..umesikiliza majibu yake?

..hujaona anavyoji-expose kuwa ni mjinga.

..Na hapo yuko peke yake, akikutana ana kwa ana kwa ana na mtu wa upinzani hataweza kusimama kwa hoja.
Kwa nini CHADEMA imjibu Mjinga?
 
Ukisoma kilicho andikwa ni wazi chadema hawako tayari kwa mdaharo maana wameweka masharti ambayo wanajua hayatawezekana

..hakuna masharti hapo.

..walichoweka ni hoja au msimamo wao.

..Na wanachosema Cdm ni kwamba mdahalo uwe ktk maeneo hayo mahsusi yanayohusiana na miswada iliyopelekwa bungeni.
 
..hizo sio conditions.

..kunapokuwa na mdahalo lazima hoja zinazojadiliwa ziwekwe wazi.

..Cdm wameweka hoja zao mezani na wamesema wako tayari kwa mdahalo.

..Vyeti feki vya Makonda vinaanza kujidhihirisha maana ameshindwa kusoma taarifa na kuielewa.

Cc Nguruvi3, Erythrocyte
Mkuu, nikusahihishe mstari wa mwisho. Ni kwamba anajua kusoma (read)lakini haelewi maana ya anachosoma(contents and coontext).

Pili, kuhusu shule dah Bashite Kiswahili ni mtihani '' Mariziano, tafazali, feza alizotoa mama, miladi ya maendeleo n.k. yote yaki reflect vyeti.

Tatu, hajui mjadala unaongozwa na mada! Huwezi kwenda jukwaani huna mada unaanza kupiga kelele
Kwake of course ni rahisi, mama kaupiga, atasifia tuu bila substance au style aliyotumia kwa Mzee Warioba

Kuna mada moja Tindo kasema ' watu waliokuwa wanamshangilia Katibu mkuu hawakujua wanamshangilia kwa nini na mmojawapo ni Bashite. Inasikitisha
 
Back
Top Bottom