K kimbwe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 707 Reaction score 213 Jul 12, 2013 #1 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla. source: Chanel 10
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla. source: Chanel 10
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 Jul 12, 2013 #2 lazima waweke msimamo
Mbuna JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 269 Reaction score 71 Jul 12, 2013 #3 Ndivyo inavyotakiwa
Supervisor JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 559 Reaction score 208 Jul 12, 2013 #4 Go go cdm
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 54,530 Reaction score 43,913 Jul 12, 2013 #5 Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake.
Tume ya Katiba JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,896 Reaction score 1,866 Jul 12, 2013 #6 JWTZ ianze mazoezi mepesi, haiwezekani aman ya nchi ichezewe kiasi hiki.
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,219 Jul 12, 2013 #7 Ritz said: Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake. Click to expand... Ni sheria gani inaruhusu Green Guards? Tell.us please. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ritz said: Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake. Click to expand... Ni sheria gani inaruhusu Green Guards? Tell.us please. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
IHANGILO Member Joined Jun 23, 2013 Posts 55 Reaction score 10 Jul 12, 2013 #9 Ritz said: Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake. Click to expand... sheria ipi unayo izungumzia wewe ndani ya katiba ya cdm kunamaelezo tosha sio kitu kipya msikurupuke tu..:tape:
Ritz said: Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake. Click to expand... sheria ipi unayo izungumzia wewe ndani ya katiba ya cdm kunamaelezo tosha sio kitu kipya msikurupuke tu..:tape:
Dr.Mo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3,809 Reaction score 1,653 Jul 12, 2013 #10 Hilo agizo lilitolewa na nani..? serekali legelege bana
IHANGILO Member Joined Jun 23, 2013 Posts 55 Reaction score 10 Jul 12, 2013 #11 Tume ya Katiba said: JWTZ ianze mazoezi mepesi, haiwezekani aman ya nchi ichezewe kiasi hiki. Click to expand... amani inayo chezewa ni ipi wale watoto wanano bebeshwa bunduki je:tape:
Tume ya Katiba said: JWTZ ianze mazoezi mepesi, haiwezekani aman ya nchi ichezewe kiasi hiki. Click to expand... amani inayo chezewa ni ipi wale watoto wanano bebeshwa bunduki je:tape:
IHANGILO Member Joined Jun 23, 2013 Posts 55 Reaction score 10 Jul 12, 2013 #12 View attachment 102026 mafunzo ye green guard .....wengine ndio sisi hapana go on cdm tumechoka na sisi.
View attachment 102026 mafunzo ye green guard .....wengine ndio sisi hapana go on cdm tumechoka na sisi.
K kimbwe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 707 Reaction score 213 Jul 12, 2013 Thread starter #13 Nafikiri wakiendelea na mpango wao kinachofuatia ni kchapo!
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,629 Reaction score 1,950 Jul 12, 2013 #14 Lazima red iwezeshwe
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jul 12, 2013 #15 Ritz said: Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake. Click to expand... nguvu ya umma haijawahi kuzuiwa na gwaride la namna yoyote wala vitu vyenye ncha kali , muulize marehemu Gaddaf .
Ritz said: Lazima watii sheria bila shuruti zaidi ya hapo ni sheria inachukuwa mkondo wake. Click to expand... nguvu ya umma haijawahi kuzuiwa na gwaride la namna yoyote wala vitu vyenye ncha kali , muulize marehemu Gaddaf .
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jul 12, 2013 #16 Ritz said: Click to expand... una maana gani ?
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,813 Jul 12, 2013 #17 lazima chama kiwe na ulinzi wa kutosha na hakiwezi kurudishwa nyuma na narrow minded dhaifu na lameck shit
lazima chama kiwe na ulinzi wa kutosha na hakiwezi kurudishwa nyuma na narrow minded dhaifu na lameck shit
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,697 Reaction score 272,570 Jul 12, 2013 #18 kimbwe said: Nafikiri wakiendelea na mpango wao kinachofuatia ni kchapo! Click to expand... cha pande zote .
kimbwe said: Nafikiri wakiendelea na mpango wao kinachofuatia ni kchapo! Click to expand... cha pande zote .
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,783 Jul 12, 2013 #19 Ritz said: Click to expand... Erythrocyte said: una maana gani ? Click to expand...
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,994 Reaction score 102,833 Jul 12, 2013 #20 Sometimes you should stand to what you believe if you turn your mind people will mock you around.