CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

kama niliwaelewa vizuri CHADEMA,nadhani kwa kuwa mara nyingi serikali imekuwa ikilalamika kuwa chadema wao ni maandamano tu wao wataki kisikiliza wala kupatana,nadhani wao kwenda kwa kikwete ilikuwa kutafuta suluhisho kabla ya kufanya maamuzi mengine ili kujaribu kutumia negotiations katika hilo,then since negotiations have failed then I think we ought to think that we have a government that does not listen and we can not attain the constitution we want because they still have interests to protect.The new constitution is not for chadema but for Tanzanians and there is a need of Tanzanians themselves to demand for what they want.NGOS have tried to organise the Tanzanians but still into a failure.Tanzanians need to know what they are going into but who to make them know when they dont even have trust in the Civil society oraganisations
 
Chadema made a serious mistake to meet with JK. When JK gave a first speech to the parliament after 2010 election, Chadema walked out and JK said that you just walk out but one day you will come to me and now they have done that. During the debate of the bill they walked out again - showing that they didn't accept the bill. They left the right arena for them and enter the arena which is not theirs - big mistake!!

Chadema take the path which will lead Tanzanians to prosperity without taking JK and his hooligans on board.
 
Kama JK asingesaini huo muswada tungejaa hapa kuwasifu CDM kwa mapambio...amesaini tunawaponda!
 
[h=6]Haya maneno yako kwenye wall ya facebook ya Tundu Lissu. Huyu ni Rais wa nchi? "Hata mimi naona mnazo hoja za msingi, tatizo nisipo saini wenzangu katika chama hawatanielewa." Jakaya Kikwete. Kwa jinsi yalivyoandikwa na kwa jinsi ninavyomfahamu raisi, kuna uwezekano mkubwa sana kuwa aliyasema. [/h]
 
Kwa kifupi hata JK hakupenda kusaini ule muswada, ila sasa imemlazimu asaini kwa maslahi ya wenzie kwenye chama na sio kwa maslahi ya watanzania. Huruma.
 
Mkuu, kauli mbiu ya Chadema ni nguvu ya umma..
Huwezi kusema una nguvu ya umma wakati una wabunge 23..
Nadhani umenipata mkuu

Wameyakana makubaliano hata kama ni wewe mkuu usingekubali..
Walikuja na makaratasi mengi kama uliona Tundu Lissu kajaza begi zima mpaka anashindwa kubeba..
JK, alivyoona hivyo akawasambazia Juice za Machenza, baada ya apo akawasambazia tena kahawa na tende za yemeni.
Kesho yake asubuhi akawapiga chai nzito kama unavyojua chai ya Ikulu halafu wakalegea wote wakashindwa kukataa wala kukubali..
Kesho yake JK akasani kama alivyotumwa na watanzania
Sasa mnajitoa ili iweje? Jipangeni upya

Jamaa naona unajichanganya!! Kule uliuliza CHADEMA kinapata wapi authority ya kuwasemea watanzania wakati kina wabunge 23 tu!! Sasa hapa unasema Kikwete kasaini kama alivyotumwa na watanzania!! Mbona watanzania wengi hawajamtuma; kwa sababu jamaa alichaguliwa na watanzania milioni 5 tu kati ya milioni 40!!! Sasa hapa unawezaje kusema ametumwa na watanzania halafu CHADEMA kupitia wabunge 23 hawajatumwa kwavile wao ni kakikundi kadogo tu kama NGO?!?!

What's ur stand on this?!?!
 
Ni kweli wamejitakia mazingira magumu baada ya kuboronga toka lini kiongozi kibaraka kama Mbowe akaongea maana? Utasumbuka bure kuwatetea Viongozi CDM lakini kwa hili wamechemka na inavyoonekana unapenda Malaya kwani Viongozi wa Chadema sasa ni kama Mwanamke Malaya anaye haha kutafuta wanaume mwisho wanaishia kuhongwa Juice. Kwa siku ya leo CDM imepoteza umaarufu kwa watumiaji wote wa mitandao kutokana na ushamba na ulafi wa viongozi wao? Wanachama wa wa CDM imefika wakati tuwapige chini viongozi wakiongozwa na Mbowe na tuandae mchakato wetu wa kudai haki kwa kutumia nguvu ya umma kama wafanyavyo wananchi wa misiri. Wanaharakati wapo pamoja nasi

It's hard to discuss with mercenaries for they are unable to accept any logic or fact which is against opinions of their masters. Infact the mercenaries accept nothing more than ...money ...

Sorry, I have no money to give you guys, ... but the truth is that CCM is driving us crazy.
 
Naona wengi wetu kama vile wananalalamikia hatua iliyochukuliwa na CDM kuonana na jk,eti wametukatisha tamaa,wametuangusha nk.mimi nafikiri wao kama chama wanamchango wao katika ukombozi wa nchi hii,na wamefanya kile walichoona kinafaa kama chama.wewe na mimi tumefanya nini mpaka sasa,kwani katiba tunayoitaka si ya cdm,ccm,cuf wala tlp,niya watanzania wenye chama na wasiona chama.
wewe na mimi tunaweza kuanzisha movement eje ya chama,watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii ambao kimsingi ni wengi watatuunga mkono na ukombozi utapatikana.
TUEPUKANE NA TABIA ZA UTEGEMEZI.TOGETHER EVERYONE ACHIEVES MORE
 
Hongereni Chadema kwa kumvua nguo Kikwete na kumwacha mtupu japo washikaji wake wanamshangilia kwa kuweka madudu, hii nchi jamani ! Chadema mnaendesha siasa ya karne ya ishirini na moja lakini kwa waliozoea zile za mwaka 47 hata wakipewa darubini kali hawataweza kuona kile mlichofanikiwa. Watazamaji wengine wamechanganyikiwa jinsi boli linavyotandazwa hadi washika vibendera nao wameamua kuingia uwanjani !

Ni ajabu kuna watu wanaamini unaweza kupanda sukuma wiki ukavuna matikiti, ukapanda kunde ukavuna nyanya au ukapanda dengu ukavuna karanga, nchi hii jamani ! Ngoma wanayoipiga Chadema ni nzito na mdundo wake ni wa kisasa na kuucheza kunahitaji wepesi katika kuhamasisha viungo vyote mwilini zaidi ya tumbo. Ndiyo maana Chadema 1. Walilitega Bunge, 2. Wakamtega Raisi na sasa hatua iliyobakia ni kumfunua mwali.

Good point,hata mimi namtazamo kama wako,ila wasiwasi wangu ni kuwa watanzania tuliowengi tu wavivu wa kufikilia,ndiyo sababu ccm wanatuwin kirahisi kwa ahadi feki.The question here is,huu mziki wa cdm watanzania wanauwezo wa kuelewa unavyochezwa?
 
Back
Top Bottom