dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
jamaa wanapiga bizness kwa maslahi ya familia zao we waendekeze tu wanasiasa
Kila uchao,CHADEMA wanaamka na jambo jipya.Mara kesi,mara maandamano,mara kususia vikao vya Bunge,mara kufanya mkutano na Mkuu wa magamba Ikulu,mara kutoa tamko,mara nini sijui nakadhalika.Hawaeleweki wala hawatabiriki.Maswali ya kujiuliza ni: Je,tuendelee kuwaamini CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini chenye uongozi dhabiti,na hoja imara? Je,CHADEMA nao wanatumiwa? Kwa faida ya nani hasa?