Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
chadema mliyataka wenyewe hakuna wa kumlaumu ndoa na ccm imewashinda mnaleta visingizio
wewe hao sio wapwan,,ni watu wa kaskazin watu wa kaz na pesa
hayo ni maoni yako tu,,,,,,
Sijakuelewa hapo kwenye red!!..according to Mnyika, CDM wamempa Raisi mapendekezo yao.
..Raisi "kayaweka kabatini" mapendekezo ya CDM na kuamua kusaini mswada kuwa sheria.
..obviously CDM lazima wagomee kushiriki ktk process nzima ya kukusanya maoni kwa kutumia sheria aliyoisaini Raisi.
NB:
..hisia zangu ni kwamba serikali huko mbeleni itapuuza maoni ya wananchi kama ilivyoyapuuza maoni yaliyotolewa na CDM.
Hawa CHADEMA nao kama hawaeleweki eleweki vile...
wewe ndio hueleweki.
Yaani Chadema wanataka kutuambia kuwa wao walikuwa wakidhani kuwa mkutano wao wa siku mbili na Rais (wasiyemtambua) ungeweza kupangua mswada uliopitishwa bungeni?
Au ilikuwa ni kwenda kuonana na Rais ili tu wasema tulimpa masharti na alitupuuza kwa hiyo tunagomea?
Joka kuu,kwanini hatuwabani viongozi wetu watuambie kwanini walikubali kusaini kile kikaratasi cha kihuni? Yaani mnyika anataka kutwambia Rais walitoa ahadi kwa mdomo? Sielewi tunazunguka nini! Aibu hii mkuu!
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa kuna document ambayo imesainiwa na Nchimbi na Mnyika kama wawakilishi wa serikali na CDM respectively.Mnadhani move hii ni kosa limefanywa na cdm, hasha! jaribio kutokukidhi matarajio hakuifanyi ccm kuwa imefanya vema, imeuanika ubaya wa ccm, imetafsiri utawala wa hila wa dubu ccm, imeonyesha wazi kuwa ukiwasikiliza ccm wao watadai umewaruhusu wakuamulie hatima yako, niwaambie! ccm imezidi kuwa mbaya!!!!!!!!
chadema wametia saini mkataba mbovu na kutuingiza hasara, Mbowe na Dr Slaa wajiuzulu damu mpya ya vijana ichukue nafasi