CHADEMA yaizika CCM Ukonga


Pamoja sana mkuu Kimbunga...

Ukiona kobe ameinama ujue anatunga sheria..
 
Last edited by a moderator:

Sasa kwa andiko hili nathibitisha Ujinga ni kipaji!
 

Nimeamini upumbavu hauna alama!
 
Nimeamini upumbavu hauna alama!

Mkuu Molemo huyo tuachie sisi sio saizi yako bwana naona anataka kujitoa ufahamu watu kama hawa wapo humu kutafutia watu ban na ndio wanafanya jukwaa letu watu makini washindwe kuingia.usimjibu tutahangaika nae sisi naona huyu ni ajira mpya ya Lumumba buku 7 maana wameajiri kuongeza nguvu
 
mkuu. Molemo naomba
unieleweshe kuhusu haya
mapingamizi.
_nijuavyo mimi kama
nilivyoona kwenye ubunge
mgombea akiwekewa
pingamizi huwa linaamuliwa
kabla ya siku ya kupiga
kura,je haya utaratibu
ulikuweje maana nchi nzima
waliowekewa pingamizi ni
wa ukawa tu na sikusikia
ukawa wakiwekea wa ccm?
ninasubiri jibu
 
Last edited by a moderator:

Haaahaaaa we jamaaaa unahasira sana ila pado hujanifikia. This Country bana IPO siku tutaheshimiana
 

Nashukuru sana Kamanda kiogwe.Nitafuata maelekezo yako!
 
Last edited by a moderator:

Kamanda Marire hii ni hujuma kubwa na shambulio la demokrasia lililofanywa na CCM na kuratibiwa kikamilifu na wakurugenzi chini ya ofisi ya Waziri Mkuu.

Hii ni baada ya kugundua CCM ilikuwa inakwenda kushindwa vibaya.

Waliweka mapingamizi haramu maeneo yale tu waliyokuwa na Uhakika CHadema ingeshinda kwa kishindo.

Uhuni huu unapaswa kulaaniwa na kila mpenda demokrasia.
 
Last edited by a moderator:
Molemo bado hujanijibu swali langu kamanda,
mi sijapinga kuwepo mapingamizi,je kwa walivyopanga serekali yalipaswa kutolewa maamuzi lini?ili hata mgombea akilishinda pingamizi aweze kwenda kupigiwa kura???
 
Last edited by a moderator:
Huu ni uhuni uliopitiliza yaani ukawa kwanini tusifungue kesi mahakamani kupiga hii rafu?
 
Wacha ujinga wewe tunataka na professor muongo aombwe radhi kwa kuchafuliwa na mama tibaijuka tumuombe radhi pia na ikiwezekana 1.6 b aliyo pewa ni ndogo angalau rais aongeye na TRA wamuongezeye japo vi Billion 2 ili aweze kuwasaidia watoto wengi sana pia chenge naye amehudumia serekali kwa muda mrefu sana serekali imuongezeye japo hapo ka billion 1 1/2 ili akamilishe mambo yake waziri mkuu mtoto wa Mkulima yeye serekali wampe japo vi Billion v3 ilinaye awe sawa maana yeye account yake ilikuwa na millioni 27 tu yote yatawezekana kwa kutumia ile kauli mbiu yetu ya chama chetu kitukufu ccm TUMEJARIBU TUMEWEZA NA SASA TUNASONGA MBELE!
 
Mbona Jimbo la segerea Chadema wameshinda mitaa mingi lakini siskii chochote?
 
Km ni post za CHADEMA muwe mnasema hili Jukwaa ni lenu maPro na BAVICHA
WW POST za ajabu ajabu tuziache zipite
Dr. Slaa ailipua Ikulu
mara tunaletewa
'MBOWE KUPOKEWA KWA MAANDAMANO DAR'
CHADEMA Yaizika CCM Ukonga

Nimeamini upumbavu hauna alama!
Sasa kwa andiko hili nathibitisha Ujinga ni kipaji!
km habari ni ya kutunga pelekeni Buguruni lakini sio matusi maana habari haijakamilika lakini habari inakuja km kweli imekamilika
sasa hapo ndio CCM kazikwa ukonga? Heading zinatisha nyau kwanini nisiziite za kitoto?
 
Ukwaju umekalia kitu gani mbona una hasira hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Ukwaju umekalia kitu gani mbona una hasira hivyo?
Nimekalia ZUIO
unajua panapo ukweli acha pasemewe ukweli
lakini kutunga hata huyo Dr Slaa anapinga na hata hapa alipotamka sehemu zilizoshindwa na CCM ni halali kabisa
lakini eti UKONGA?


Bado ipo taarifa ya TAMISEMI haisemi hivyo kuwa katika Mitaa na Serikali za Vijiji 9800 Tanzania Bara na Visiwani UKAWA NI 3300 sasa hapo ni mazishi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…