Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Tunajua mnategemea kuiba kura!! This time mtashangaana!Haiwezekani wewe usiwe na washabaki halafu mwisho wa siku ushinde uchaguzi, siasa ni science, msijifanye kama kunakuwaga na nguvu za giza wakat wa uchaguz zinazowafanya mshinde bila kuwa na washabiki/kupigiwa kura,Kimsingi huwa mnaibaga kura!!! This time tutadeal nany squarely!!Kipimo kizuri ni Uchaguzi hii ya kujaza watu imekua kama fashion kwa Chadema,leo Mbowe kasema Chadema inakosa mikakati ndio maana haishiki dola!