CHADEMA yaizika CCM rasmi Mbeya

CHADEMA yaizika CCM rasmi Mbeya

"Chama Cha msimu" oooh "Chadema Itakufa ndani ya mwaka mmoja"Chama cha wafanya fujo"Chama cha maandamano"Chama cha kikabila"Chama cha kichaga"Chama cha kidini"mwenyekiti wake DJ,Katibu mkuu anachukua wake za watu,Cjui zito nini na nini ooh henche hafai anaua chama,Ila mwisho wake?"Mchaka mchaka chinjaa,alesele aleja" Raha mpaka Kumtima wange

Dhaifu pia alisema "kwanini kuangaika na photocopy wakati original ipo?
 
CCM wanaoandamana na kuhudhuria mikutano yao ni wanachama wao na waliokodishwa. Ingekuwa ni CCM hapo dungeons kijani na njano tu.
 
Hiyo ndiyo salaamu kwa mulugo anayeota kurudisha mbeya kwa ccm
 
watu wenyewe wanaonekana wamepigika kinoma na pia si wengi wa kutisha. Kagari kamoja na speaker mbovu mbili tu, tehe tehe tehe tehe.

hivi wewe unaakili timamu kweli? Au wewe ni miongoni mwa viongozi wanaofaidi rasilimali za nchi hii au ni mtoto wa kiongozi? Maana hawa ndo hawataki skia kitu ma-ccm yanaondoka coz mirija itakata.
 
Kipimo kizuri ni Uchaguzi hii ya kujaza watu imekua kama fashion kwa Chadema,leo Mbowe kasema Chadema inakosa mikakati ndio maana haishiki dola!
 
watu wenyewe wanaonekana wamepigika kinoma na pia si wengi wa kutisha. Kagari kamoja na speaker mbovu mbili tu, tehe tehe tehe tehe.

Maneno ya mtu mwenye wivu asiyejua wapi anatoka na wapi anakwenda. kale kafuso ka Mwigulu vipi ambako ndo sasa kanategemewa na CCM kwenye operation yenu ya nunua masalia tukana matusi.
 
watu wenyewe wanaonekana wamepigika kinoma na pia si wengi wa kutisha. Kagari kamoja na speaker mbovu mbili tu, tehe tehe tehe tehe.

Unalo hilo mdada kajiuze upate posho...teh teh teh sasa kama mwanaume jiulize kwanini umeitwa hivyo sorry akina dada sina maana mbaya kwenu
 
shonza na mwampamba wamejikuta wameishia dar na kuogopa kukanyaga ardhi ya ukanda huu kwa sababu wanajua fedheha watakayoipata kutokana na usaliti waliofanya.
 
Mbona sijuelewa uzi kwani mbeya kumetokea nini nataka nifurahi ila bado sija pata taarifa kamili
 
shonza na mwampamba wamejikuta wameishia dar na kuogopa kukanyaga ardhi ya ukanda huu kwa sababu wanajua fedheha watakayoipata kutokana na usaliti waliofanya.

mkuu hujasikia yaliyowapa shonza na ombaomba mwenzake mwampamba ,.....magamba hayawaamini hata kidogo wanasema ni mashushu wa chama .....endeleeni kuua CCM tuchukue nchi mapema ,usihofu mkuu kumbe wale mashushu wetu ndani ya CCm mtu kanitonya leo sikujua....eeh ntatoa siri bure
 
Hili chama nallikubali sana, keep moving chadema
 
mwito jamani tukajiandikishe kwenye hilo daftari la wapiga kura au liwe updated. kwa heri ccm.
 
CCM imeisha kivipi? Onyesha vidokezo ama fafanua basi ili tujue uongo wako

Waliofeli asilimia zaidi ya sitini si wanafunzi wa kidato cha nne bali ni CCM na serikali yake. Kwa hali ya matokeo haya yalivyo kama Mhe. Dr. Kawambwa angelikuwa yuko kwa maslahi ya watz angeisha wajibika kwa kujiuzuru lkn wapi bwana, bado anadunda na haoni tatizo hata kidogo!
 
CCM imeisha kivipi? Onyesha vidokezo ama fafanua basi ili tujue uongo wako

Waliofeli asilimia zaidi ya sitini si wanafunzi wa kidato cha nne bali ni CCM na serikali yake. Kwa hali ya matokeo haya yalivyo kama Mhe. Dr. Kawambwa angelikuwa yuko kwa maslahi ya watz angeisha wajibika kwa kujiuzuru lkn wapi bwana, bado anadunda na haoni tatizo hata kidogo! Ni wale tu wasiolitakia mema taifa hili ndio wanaoweza kushabikia CCM na viongozi wake. Huduma za jamii na uchumi wa nchi yetu vimeharibika mikononi mwa CCM huku ikiendelea kupiga propaganda kwa watz masikini ya maisha bora kwa kila mtz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom