CHADEMA yaitesa CCM Kyela

sijawahi kujiuliza. wewe ulishajiuliza?

Mkuu
Kyela CCM wana hali mbaya mno na hata Dr Mwakyembe analijua hilo

Juzi kwa mara ya kwanza ktk uongozi wake wa kiimla wa miaka zaidi ya 8 katumia mamilion ya shilingi kwa kawakusanya waislam kutoka kata zote 21 na kuwapa futari ya bure!

Zamani wkt Kyela hamna upinzani Dr Mwakyembe aligoma kutoa hata senti yake!
 
una hoja. lakini hoja yako kidogo inaapply zaidi labda chalinze. ila kwa kalenga bila shaka unapotezea tu. kwa sababu nguvu mliyowekeza inajulikana kwa kila mmoja, ilifikia mpaka kusafirisha watu wakusimamia kura kutoka arusha (refer kauli ya godless lema).
na hata hiyo chalinze bila shaka mlikatishwa tamaa na ya yaliyotokea kalenga. sitaki kugusia la chopa 3 kata 3 ambazo zilifanyika nchi nzima. sijui na hapo utasingizia strong holds. anyway!

 
hivi hao waislam hapo kyela ni % ngapi mpaka wamtese mwakyembe kiasi hicho?
 

Kaka tutafutane kwa PM please najua tunajuana vizuri,tulikuwa wote kwa mwalimu filipo na mahinya!
 
Kaka tutafutane kwa PM please najua tunajuana vizuri,tulikuwa wote kwa mwalimu filipo na mahinya!

TUNAWASHUKURU sana wana kyela kwa kuunganisha nguvu kwenye MITANDAO ILI KUINUSURU WILAYA YETU , MUNGU ATAWALIPA KWA WEMA WENU .
 
hivi hao waislam hapo kyela ni % ngapi mpaka wamtese mwakyembe kiasi hicho?

RUSHWA hata ukiwapa watu watatu BADO HAINA UHALALI WOWOTE , KITENDO CHA MWAKYEMBE KUWAKUSANYA WAISLAM KWENYE UWANJA WA MWAKANGALE ILI KUWAPA FUTARI ,HAKIKUBALIKI NA NI UDHALILISHAJI ULIOAMBATANA NA RUSHWA .
 

HALAFU HIYO inaitwa RUSHWA YA UKARIMU , IFYINJA FYOSA GWALIKUGU MWAKYEMBE ? LOLI ABACHADEMA BABHAKOLILE MUSIKUTUJA ! NDAGA DR SLAA UMALILE IMBOMBO MWA KYELA !
 
Tuliwatahadharisha mapema sana lakini walitupuuza , asante Mungu kwa wema wako.
 
Chadema kinakwenda kukamata madaraka wezi wa Pesa za taifa mjiandalie vitanzi nyie na makuwadi wenu akina nepi.
Eee bhana mkuu ulijuaje kama kutakuwa na ESCROW aisee ! Mbona ni kitambo sana ? Wewe ni mtabiri bhana , haiwezekani !
 
chadema mbona mmeshindwa kyela?

Matokeo ya kyela nimeyatoa sehemu

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani Kyela.Jumla ya Vijiji ni 90,CCM wamepata 79 na CHADEMA 11.Jumla ya Vitongoji ni 401,CCM wamepata 310 na CHADEMA 84 Vitongoji 5 bado kufanyika Uchaguzi.
 
Nimeongea na jamaa yangu mmoja kada wa ccm anasema kilichoiangusha ccm kyela ni uwongo wa Mwakyembe. Kila akienda hukko yeye anaongea hadaa na uwongo kama karata yake ya kumpa uongozi. Wanamchagua lakini wanazidi kuteketea, akienda tena ni propaganda na uwongo uleule. wamesema sasa basi. Atakula anakopeleka mboga.
 
Nilihakikisha kitongoji changu cha bugema 1 kijij cha katumba tunachukua na tumechukua CDM hii ni mala ya kwanza toka wanainch wa kijijn kwangu wadanganywe na CCM kwamba CDM wanataka leta vita sasa wameamua ungana wavuvi kwa wakulima kuleta mabadiliko wamesema hawalud tena kwa faraho Kaz ipo 2015
 
mkuu kyela vipi mwakyembe vipi....
Mwakyembe alikimbia mchana kweupe bila hata ya kusikiliza matokeo mbali na kugawa vitu kama vile sahani za kichina, vikombe, vijiko, kwa raia lakin hakuna alicho ambulia zaid ni kwamba mamlaka ya mji mdogo kyela chadema wanaongoza kuwa na viti 29 hivo ndiyo wenye maamuzi na wenye kuchagua mwenyekiti wa halimashauri ya mji mdogo kyela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…