Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

Chadema yaiteka Ngara kwa kishindo

baraza kuu lipi??? hili la cdm ambalo ni letu au kuna jingine huko nyumbani kwenu???? nyambafu kijakazi wewe!!!!

kama lenu akina babu wanaogopa nini kuliitisha? itisheni basi muone moto wanaume watakavyowachezesha kidali poo na ulemavu wenu
 
Kwanini Tbc Awaonyeshi watanzania watu wachache
 
Kuna watu wengi humu ndani kazi yao ni kuandika utumbo tu, kama huna cha kuchangia si ukae kimya, hivi nyie vijana wa ccm mna wazazi kweli, au mlikulia jalalani, maana upuuzi mnaondika humu haioneshi kama mlifunzwa adabu na wazazi wenu, au ndio mafunzo mnayopewa huko uvccm, maana wote mnaakili kama Mwigulu, lusinde au John Komba, mnatia aibu humu jamii forum, lo!
 
SIKU 14 TANZANIA ipo chin ya utawara wa CDM
JAMAN mwigulu ayibu arusha
 
Back
Top Bottom