JF- KYOMA
Member
- Jan 14, 2014
- 79
- 42
Kamanda Mbowe aliongoza msafara wa viongozi akiwa kamanda wa nchi kavu baada ya Kamanda Lema na Mnyika akiongoza msafara wa hanga ambao kwa jana ngara nzima ilizizima kwani uwanja wa posta ya zamani ulijaa na kutema maelfu ya watanzania wanao unga mkono chadema mpaka mwisho wa mkutano watanzania hao waliwasindikiza viongozi mpaka Hotel ya Amaholo kwa kidedea kikali na maandamano makubwa sana na ya aina yake