CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita

Wameshaonja joto la jiwe,maisha ndiyo yamezidi kuwa magumu!Hili limemgusa kila mtu,wameona zile ni mbwembwe na maigizo tu
 
wajinga-ndio-waliwao-jpg.361275

Manyang'au yananenepa huku wananchi wakizidi kukondeana!
Lazima wakati utafika wananchi watasema hapana, imetosha!​
 
Hivi, akina Mizengo Pinda, mmechoka kiasi hicho cha kukaa kimya kama kutupa jongoo na mti wake. Baba Yusufu Makamba, Chiligati, mmetuacha na zigo la chama lisilobebeka. Mko kimya! Mpaka tunafika mahali siasa zinachezwa kati ya vyama vya upinzani na vyombo ambavyo si vyama vya siasa. Chama chetu sisi kimya kama vile tumekaimisha!
 
wajinga-ndio-waliwao-jpg.361275

Manyang'au yananenepa huku wananchi wakizidi kukondeana!
Lazima wakati utafika wananchi watasema hapana, imetosha!​
Naona MISUKULE imefufuka! Baada ya midomo kuchacha na kuiziba kwa kuogofya kusambaza germs sasa wamerudi kwenye chaka lao...... mhe TULIA pita huku utupe Formula!
 
wajinga-ndio-waliwao-jpg.361275

Manyang'au yananenepa huku wananchi wakizidi kukondeana!
Lazima wakati utafika wananchi watasema hapana, imetosha!​
Kama walivyofanya Geita Leo , safi sana wana geita na huo ndo mwelekeo Wa kisiasa nchini ...tumbua tumbua wameona kumbe ni usanii tu na wala hauwasaidii zaidi zaidi kukurupuka kumewafanya geita sukari wanunue sh.5000 kg 1...
 
Back
Top Bottom