CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita


M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Likes
720
Points
280
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 720 280
Chama cha mapinduzi (CCM) kinaelekea kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji mkoani Geita jimbo la Nywang`wale.

Kwa mujibu wa mratibu wa kanda hiyo wa CHADEMA ndugu General Kaduma mpaka sasa CHADEMA imetangazwa vitongoji 7 kati ya 11.. Tutaendelea kuwapa matokea ya vitongoji vilivyosalia..
 
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
13,524
Likes
27,463
Points
280
Age
48
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
13,524 27,463 280
Chama cha mapinduzi chaangukia Pua Uchaguzi mdogo wa vijiji na Vitongoji mkoani Geita Jimbo la Nywang'wale.

chadema mpaka sasa yashinda vitongoji 7 kati ya 11.

Utawala utatuelewa tu kwa namna ambavyo hali ya maisha inavyoenda.

Wananchi tulishajua yakuwa msemo wa hapa kazi tu hauna maana kuliko uke wa Maisha bora kwa Kila Mtanzania.
 
K

kakison Alfred

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Messages
338
Likes
150
Points
60
Age
26
K

kakison Alfred

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2014
338 150 60
hii ni kweli au maneno tu?
 
K

kakison Alfred

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Messages
338
Likes
150
Points
60
Age
26
K

kakison Alfred

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2014
338 150 60
hapa kuna ukweli au maneno ya kwwnye kanga?
 
TAWA

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,556
Likes
787
Points
280
TAWA

TAWA

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,556 787 280
Chama cha mapinduzi (ccm) kinaelekea kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji mkoani Geita jimbo la Nywang`wale.

Kwq mujibu wa mratibu wa kanda hiyo wa Chadema ndugu General Kaduma mpaka sasa Chadema imetangazwa vitongoji 7 kati ya 11.. Tutaendelea kuwapa matokea ya vitongoji vilivyosalia..
Kaka Molemo habari za siku nyingi mkuu. Kaka kitambo..
 
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,139
Likes
534
Points
280
Mwendabure

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,139 534 280
Mkuu wapi chanzo cha habari?
 
TAWA

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Messages
3,556
Likes
787
Points
280
TAWA

TAWA

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2013
3,556 787 280
Na bado, watu wanasomeshwa namba bila kupenda mitaani. Wenyewe wanaanza kuona kila rangi ya ccm
 
R

Reucherau

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
762
Likes
1,630
Points
180
Age
38
R

Reucherau

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
762 1,630 180
TATIZO MAISHA MAGUMU MNO SASA; NAFUU MARA ELFU MOJA KIPINDI CHA JK
 
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
2,500
Likes
1,324
Points
280
kibwenzi

kibwenzi

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
2,500 1,324 280
Kweli ufipa mna hali mbaya .
 

Forum statistics

Threads 1,237,751
Members 475,675
Posts 29,299,543