Chama cha mapinduzi (ccm) kinaelekea kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji mkoani Geita jimbo la Nywang`wale.
Kwq mujibu wa mratibu wa kanda hiyo wa Chadema ndugu General Kaduma mpaka sasa Chadema imetangazwa vitongoji 7 kati ya 11.. Tutaendelea kuwapa matokea ya vitongoji vilivyosalia..
Watu washastuka kuona kumbe ccm n kanyaboya
Wewe unayomuliza chanzo kwani humjui Molemo?Mkuu wapi chanzo cha habari?