CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha mapinduzi (CCM) kinaelekea kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji mkoani Geita jimbo la Nywang`wale.

Kwa mujibu wa mratibu wa kanda hiyo wa CHADEMA ndugu General Kaduma mpaka sasa CHADEMA imetangazwa vitongoji 7 kati ya 11.. Tutaendelea kuwapa matokea ya vitongoji vilivyosalia..
 
Chama cha mapinduzi chaangukia Pua Uchaguzi mdogo wa vijiji na Vitongoji mkoani Geita Jimbo la Nywang'wale.

chadema mpaka sasa yashinda vitongoji 7 kati ya 11.

Utawala utatuelewa tu kwa namna ambavyo hali ya maisha inavyoenda.

Wananchi tulishajua yakuwa msemo wa hapa kazi tu hauna maana kuliko uke wa Maisha bora kwa Kila Mtanzania.
 
Chama cha mapinduzi (ccm) kinaelekea kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji mkoani Geita jimbo la Nywang`wale.

Kwq mujibu wa mratibu wa kanda hiyo wa Chadema ndugu General Kaduma mpaka sasa Chadema imetangazwa vitongoji 7 kati ya 11.. Tutaendelea kuwapa matokea ya vitongoji vilivyosalia..

Kaka Molemo habari za siku nyingi mkuu. Kaka kitambo..
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom