Hii imetulia; lakini umesahau kuwa siri kali hii ilokunywa kikombe cha babu imeahidi mambo meeeeeeengi ambayo haijaanza kuyashughulikia; na walodanganywa wameahidi kutodanganywa tena. Hapo ndipo palipo na Muziki wenyewe!wakati vuguvugu za mageuzi zilipopamba moto.....huku chuo kikuu cha dar es salaam kikiongoza kuwabeba na kusukuma magari ya wanamageuzi...nchi ikitaharuki na wengi kusema mwisho wa CCM umefika....mwanafalsafa mmoja ambaye sasa hatunaye duniani hakustuka na alisema...
"MNASHANGAZWA NA WATU KUBEBWA?? MBONA HATA MAITI HUBEBWA!!!"