Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Chadema imefanya operesheni kubwa mkoani Tabora jimbo la Bukene, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita bwana Afphonce Mawazo.
Katika operesheni hiyo Wanavijiji 267 Wamerudisha kadi za CCM na kuchukua kadi za chadema.
Akizungumzia kazi hiyo Kamanda mawazo alisema "Kazi ya Mungu inaendelea Jimboni Bukene,hapa ni Vijijini sana na mababu na mabibi wamesema yatosha''.
Kadi za CCM zilizorudishwa zilichomwa moto hapo hapo...Nilikuwa sitaki kuweka hii picha ila Kuna Matomaso huwa hawaamini bila picha