Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la CHADEMA ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba.
View attachment 162786
Sehemu ya Shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162786
Wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "Watendaji wa CHADEMA makao makuu kugoma", Tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?

Big up, nasubiri vijana wa Lumumba waje kubeza!
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
MSALANI,
Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla