CHADEMA yailaumu CCM baada ya kuangukia pua

CHADEMA yailaumu CCM baada ya kuangukia pua

Nyie ndio watu wenye fikra fupi ambao badala ya kukisaidia chama chenu kimawazo,mmebaki na porojo mfu,hakuna sehemu ambayo ilikua ni moja ya stronghold ya ccm kama Morogoro mjini,ila kwa uchaguzi wa juzi na Chadema walivyozoa maeneo kibao ya mji huu kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi Tanzania,ukweli Ccm inabidi wakae na watu wenye fikra pana na wajitafakari kwa nini mpaka Mororgoro wameanza kukataliwa kwa kasi,ila wakiwa na watu wenye akili,porojo na ushauri kama wewe na Nape Nnauye basi wataangamia kabisa!vijana hawataki porojo tena
 
kuna mwanachama wa upinzani nimemsikia chanel ya azamtv anasema kuishinda ccm si kazi rahisi kwasababu inamfumo mzuri kutoka juu mpaka mtu wa chini
 
CHADEMA imeanza kuweweseka na matamko baada ya kukataliwa na wananchi ambapo sasa imekuja na style mpya ya ku pre empty matukio kwa njia ya matamko yasiyo na tija.

Hata hivyo yaliyomo kwenye matamko hayo ni yale yale tuliyoyazoea kama vile.
1.CCM WAMEIBA KURA
2.WANACHAMA WETU HAWAJAPIGA KURA
3.VIJANA WENGI WANAIPENDA CHADEMA
4. IDADI YA MITAA NA VIJIJI AMBAYO CHADEMA/UKAWA UMESHINDA VIMEONGEZEKA.
5.
6.
7..............Nk nk

ukweli utabaki pale pale kwamba haya ni maweweseko.

Asafavali anaeangukia pua kuliko ww unaeangukia makalio
 
tulieni sindano ziwaingine . Mwaka 2009 ccm mlinshinda mitaa kwa 98%, mwaka huu mmeshinda kwa 67%
wee kaa tu na hiyo calculator yako na matamko yako muflsi lakini ujue sisi ndio watawala wako mpaka kiama
 
CHADEMA imeanza kuweweseka na matamko baada ya kukataliwa na wananchi ambapo sasa imekuja na style mpya ya ku pre empty matukio kwa njia ya matamko yasiyo na tija.

Hata hivyo yaliyomo kwenye matamko hayo ni yale yale tuliyoyazoea kama vile.
1.CCM WAMEIBA KURA
2.WANACHAMA WETU HAWAJAPIGA KURA
3.VIJANA WENGI WANAIPENDA CHADEMA
4. IDADI YA MITAA NA VIJIJI AMBAYO CHADEMA/UKAWA UMESHINDA VIMEONGEZEKA.
5.
6.
7..............Nk nk

ukweli utabaki pale pale kwamba haya ni maweweseko.

Huwa nafurahia msipotaja CDM, DR. Slaa na Mbowe kwa siku, Lumumba hakukaliki
 
Werevu wanasubiriaga mda itakapofika 2015 after ze uchaguzi ndo tutafungua vinywa na kupata vinywaji
 
Hata hiyo 67% hawana kuna mitaa waliona kuwa watashindwa waliweka mapingamizi na kupuuza majibu ya pingamizi nayo wanahesabu kuwa wameshinda kumbe wameshindwa vibaya. Tukiongeza elimu kwa wananchi wajue jinsi ya kukabiliana na uhuni wa ccm.
 
Kwani mwaka huo kulikuwa na UKAWA?

hivi mada ni ukawa au chadema. Halafu mmepata asimilia ngapi za halali, ngapi za mabavu, ngapi za wizi n.k.

Kwa upeo wako ccm imeshinda au imepoteza?
 
Watanzania tumenyimwa elimu upeo wetu wa kufikiri ni mdogo sana, ccm iliweka mapingamzi mengi lakni napo imepoteza bado inasifiwa
 
CHADEMA imeanza kuweweseka na matamko baada ya kukataliwa na wananchi ambapo sasa imekuja na style mpya ya ku pre empty matukio kwa njia ya matamko yasiyo na tija.

Hata hivyo yaliyomo kwenye matamko hayo ni yale yale tuliyoyazoea kama vile.
1.CCM WAMEIBA KURA
2.WANACHAMA WETU HAWAJAPIGA KURA
3.VIJANA WENGI WANAIPENDA CHADEMA
4. IDADI YA MITAA NA VIJIJI AMBAYO CHADEMA/UKAWA UMESHINDA VIMEONGEZEKA.
5.
6.
7..............Nk nk

ukweli utabaki pale pale kwamba haya ni maweweseko.

Wapenda mapingamizi kisha wanajisifu wameshinda wakati hawakupigiwa hata kura moj na wananchi.
Sura zilizojaa uwizi mtupu.
 
hakuna mwenye akili chadema

Kama vile ccm kuna maprofesa na madaktari wasioenda shule (Mhuuu!!! Prof. Dr. JK, Dr. Makamba, Dr. Nchimbi, Dr. Dr. Dr. ) Hizo ndio akili za Chama cha Mafisadi (ccm) Akili mlizo nazo ni za kuifilisi nchi, na kuwaacha wananchi wake wakiwa maskini wa kutupwa. Ni kweli, Chadema hawana akili za namna hiyo. Mwakani mtaliona Jiji mtakapokuwa wapinzani bila kutaka.
 
Back
Top Bottom