CHADEMA yailaumu CCM baada ya kuangukia pua

tulieni sindano ziwaingine . mwaka 2009 CCM mlinshinda mitaa kwa 98%, mwaka huu mmeshinda kwa 67%

Wakati mwingine unahitaji kutumia akili kidogo sana kupata majibu sahihi juu ya ukweli huu; Chadema imeongeza idadi ya mitaa lakini kamwe haijaongoza au kuwa mshindi kitaifa. pili ni ukweli usiopingika kuwa kuongeza hdi 14% kutoka kwenye 2% asilimia ni jitihada kubwa, jitihada hii isiyofikia hata D, au C au B au A basi tuiiteje? jibu sahihi ni "F", je F humpatia mtahininiwa cheti cha ufaulu? kwa kigezo kuwa alikuwa na maksi 2 na sasa ana 14?. Ukweli utabaki ukweli. Achana na CCM ni moto wa kuotea mbali.
 
CCM 84% CDM 14% Je nani Zaidi?

Nahis wewe sio mzima. Unapingana na Tamisemi kwa kumsikiliza mw. ehu mwenzio nepi! Matokeo ya awali yaliyotangazwa na tamisemi ccm ina 80% wakati huo kuna mitaa ilikuwa bado uchaguzi haukufanyika na mingine inafanyika kesho na keshokutwa. Sasa hiyo 84% umeitoa wapi?
 
Siku zote ukitaka uharibikiwe fikra sikiliza na kukariri maneno ya Dr Slaa
 
Rais anasubiri mahakama imfunge mikono ili asitekeleze maazimio ya bunge! Hapo ndipo anguko la ccm litakapokuwa kubwa!
 
Back
Top Bottom