yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,104
Idadi ya kura
chadema 120, CCM 63NA TLP 50
Idadi ya kura
tupe raha mkuu,weka idadi ya kura za cdm na ccm
Naenda kijiji cha mpata jimboni kwa mwandosya mwakani nimeamua kuchakaza magamba
Mkuu hujaziona hapo juu..!Tupe raha mkuu,weka idadi ya kura za CDM na CCM
jimbo la vunjo lipo chini ya mrema...!Hongereni chadema, hongere kijiji cha kilema, jiandaeni kuchukua hilo jimbo mwaka 2015!
More Updates:Tupe raha mkuu,weka idadi ya kura za CDM na CCM
Leo kuna pongezi za wanafiki kibao..
CHADEMA imeshinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Kilema Chini jimbo la Vunjo mkoani kilimanjaro.
Usemi wa Mjinga akijitambua Mwerevu upo matatani umeendelea kushika kasi ya ajabu.
peopleeeeezzz!!!!!
More Updates:
katika uchaguzi huo chadema ilishinda kwa kura 120, ccm kura 63 na tlp iliambulia kura 50
Kugumu huko balaa ila ukajaribu.Naenda kijiji cha mpata jimboni kwa mwandosya mwakani
hahaaaaaaaa........ kiongozi naona umeamua kumwakilisha Nape!!!