BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,913
vijijini mnaiba kwa urahisi lakini kuanzia sasa kila kijiji kina red brigade potelea mbali.Pia kutakua na mawakala 8 wa UKAWA wakati wa ccm ni 2 tuu,tofauti na zamani ukimuhonga wakala wa chadema basi umeshindaCcm ni kama mbuyu,kura za mijini hazitusumbui sana,wapiga kura wako vijijini,na ndo tunawekeza nguvu nyingi huku mjini mfanye mnavyoona inafaa,na katiba lazima ipite,leo tuko loliondo tukirudi ni mkoa mzima wa arusha hadi kieleweke