CHADEMA yaigalagaza tena CCM

CHADEMA yaigalagaza tena CCM

jamanieeee!!! Hebu pangeni matokeo yote ya marudio ili tuone tulivowagalagaza..
Ili wajitambue kuwa hii ni ishara ya safari (ccm)ya kuelekea kuzimuni.
#
PANGENI HAYA MATOKEO HALAFU TUM CC: YULE CHANGU WAO

Cc Lizaboni
Simiyu yetu
Fayza foxy
Asadsyria
Rutashobolola
Mmaranguoriginal
Mingoi
Nk
 
Haya makitu bila Dollar ni mepesi kama karatasi.

swissme
 
Hii kata ndiyo kile kimtaa ambacho marehemu HOLACE KOLIMBA,aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi alikuwa anaishi. Pia Marehemu Williamu Mpiluka ,aliyekuwa mbunge wa Mufindi(CCM) alikuwa anaishi hapo. Nina huhakika familia zao mpaka sasa zinaishi hapo. Pia huku anaishi MANYERERE , pia Shule ya Mama Tibaijuka Babro JOHA girls ndiyo ilipo. Ongera Chadema

Nape uko wapi?
 
Siyo dalili nzuri hizi kwa chama chetu pendwa CCM

Ziara za Kinana mbona hazitusaidii kwenye chaguzi za marudio toka Sumbawanga,Mbezi na leo Kwembe?

Kwa ccm hizo ni salaam tosha kuwa fitina zao na kejeri kwa kutumia mgongo wa zzk sasa kwisha na hayo ndio malipo ya mungu
 
Chadema ya nchi gani imeshinda? Maana nilisikia wanasema CHADEMA ya Tanzania inakufa sasa mbona kila siku ndo inashinda tu! Au zilikua propaganda tu za kisiasa ili kujifuraisha wenyewe?

Cc-Mwanadiwani
 
Chadema ya nchi gani imeshinda? Maana nilisikia wanasema CHADEMA ya Tanzania inakufa sasa mbona kila siku ndo inashinda tu! Au zilikua propaganda tu za kisiasa ili kujifuraisha wenyewe?

Cc mwigulu mchemba
 
Roma ilikuwa taifa kubwa lakini ilipoanguka hata waroma wenyewe hawakuamini na hii ndio dalili ya anguko la CCM
 
Ccm ni kama mbuyu,kura za mijini hazitusumbui sana,wapiga kura wako vijijini,na ndo tunawekeza nguvu nyingi huku mjini mfanye mnavyoona inafaa,na katiba lazima ipite,leo tuko loliondo tukirudi ni mkoa mzima wa arusha hadi kieleweke

Mkuu vijiji vya wapi unavyoviongelea?
Nakutajia kimoja wapo tu,halafu kujua kiko mkoa gani,wilaya gani,kata gani na jimbo gani hiyo nakuachia home work,kijiji hicho kinaitwa Magulilwa.
Ukitoa mapovu badala ya hoja nitakutajia vijiji vingine fasta.
 
Wale magamba wa Lumumba hawajatia timu hapa.....
Na bado hizo ni mvua za rasharasha...desemba ni elininyo kabisa siyo tu wataacha kuingia huku JF bali watakimbia nchi kabisa nadhani wataelekea Somalia

Ccm wajanja ndio maana walimuweka standby aden rage ili awapeleke somalia
 
Dalili ya mvua Mawingu, Matokeo ya Uchaguzi Serikali ya Mitaa ni dalili ya Oktoba 2015

Hapo ndo watanzania mjiulize na kutafakari sana. hawa maccm wanazunguka na wengine mitandaoni eti CHADEMA inakufa kwa kasi sasa kivipi? maana kila uchaguzi unaorudiwa ccm wanapigwa kila kona ya nchi.Wanaleta misabababu ya kijinga eti CDM wakanda , wabinafsi mara zzto kaimaliza lakini huku kwenye uchaguzi wanapigwa. Watanzania wa leo sio wale wa miaka ya nyuma wanaujua usanii wote wa ccm na wapambe wao.

Jipe moyo makamanda na changamoto zote tunazokutana nazo ila ukombozi unakaribia hivi karibuni.
 
Inashangaza vijana wa kileo kuishabiki ccm, hawa ndio kikwazo cha maendeleo ya taifa
 
chama chakavu na mafisi........
 
Hahahahahaaaaa halafu eti wanasema walishinda uchaguzi wa serikali za Mitaa,,,,,
 
Fisi yupi tena mkuu?baada ya komba wamepata fisi?

Kuna fisi Nape anatembea nae (japo sijui uhusiano wao) kuvutia vijana na watoto wa chekechea, Primary na Sec.

Hadi leo idira ya wanyama pori imeshindwa kumkamata.
 
Back
Top Bottom