mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Khaaaa Haa na leo tena CHADEMA hii sasa sifa, duh!!!!
Hii kata ndiyo kile kimtaa ambacho marehemu HOLACE KOLIMBA,aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi alikuwa anaishi. Pia Marehemu Williamu Mpiluka ,aliyekuwa mbunge wa Mufindi(CCM) alikuwa anaishi hapo. Nina huhakika familia zao mpaka sasa zinaishi hapo. Pia huku anaishi MANYERERE , pia Shule ya Mama Tibaijuka Babro JOHA girls ndiyo ilipo. Ongera Chadema
Nabado hiyo no salam.tu
Mulisema ni arusha na moshi tu,baadaye moto ukahamia kanda ya ziwa,kiutani utani mara sumbawanga wakatia chorus,mbeya,iringa,shinyanga,mara,nako moto umekolea,unakumbuka singida vijijini mlifanywa nini uchaguzi wa mitaa uliopita?sitaki tena kukuambia kitu ambacho mwenyewe unakiona!!kiufupi ni kuwa muda wenu wa matumizi umekwisha,kazi yetu ni kuwaonyesha tu watu expire date kwenye kopo la ccm,wenyewe wanajua la kufanya.Ccm ni kama mbuyu,kura za mijini hazitusumbui sana,wapiga kura wako vijijini,na ndo tunawekeza nguvu nyingi huku mjini mfanye mnavyoona inafaa,na katiba lazima ipite,leo tuko loliondo tukirudi ni mkoa mzima wa arusha hadi kieleweke
CC: Nape Nauye + Juliana Shonza; CDM inakufa kila kona ya nchi!! ha ha ha !
Nape sijui atasemaje sasa?
Hii sio dalili nzuri kwa CCM
Hii sio dalili nzuri kwa CCM
Sijakusoma mtu wangu....