CHADEMA yaigalagaza tena CCM

CHADEMA yaigalagaza tena CCM

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na ushindi dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa katika mtaa wa King'azi B, Kata ya Kwembe, jijini Dar es Salaam.

Akitangaza matokeo hayo, Msimamizi wa uchaguzi huo, George Lupia, alisema Chadema kimeshinda nafasi zote hizo dhidi ya wapinzani wake CCM na hivyo kuwa viongozi wa mtaa huo.

Msimamizi huyo alisema kuwa mgombea wa Chadema, Donath Mtemekele, alishinda kwa kupata kura 585 huku wa CCM, Daud Ngaliba, akipata kura 376 na kwamba kura 18 ziliharibika.

Chanzo:EATV radio
 
kwa mbali namuona laki si pesa kakunja sura imefanana na ngozi ya goti huku akiwa na hfu kali sana
 
Haya matokeo ndiyo yale ya mbezi au ni tofauti?
-nauluza tu makamanda.
 
thread kama hii misukule ya lumumba inachungulia tu haitii pua!
Dadadadadadadeq!!!!

hahahaaaa nimeuona msukule mmoja msalani umechungulia ukataka kuingia ukasepa hahahahaaaaa!!! Na badddooo!!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibuka na ushindi dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa katika mtaa wa King'azi B, Kata ya Kwembe, jijini Dar es Salaam.

Akitangaza matokeo hayo, Msimamizi wa uchaguzi huo, George Lupia, alisema Chadema kimeshinda nafasi zote hizo dhidi ya wapinzani wake CCM na hivyo kuwa viongozi wa mtaa huo.

Msimamizi huyo alisema kuwa mgombea wa Chadema, Donath Mtemekele, alishinda kwa kupata kura 585 huku wa CCM, Daud Ngaliba, akipata kura 376 na kwamba kura 18 ziliharibika.

Chanzo:EATV radio

Vijana wa lumumba watakuja mda si mrefu kukwambia chadema imekufa.
 
Dalili ya mvua Mawingu, Matokeo ya Uchaguzi Serikali ya Mitaa ni dalili ya Oktoba 2015
 
Back
Top Bottom