CHADEMA yaifunika CUF

Mtoa Mada utanipa ban ya bure mjinga wewe. Hivi cuf kupata viti 1000+ kutoka 500 ni kufanya vibaya? Mwana wa shetani wewe
 
samahani kwa kuquote li uzi lote but huu uzi si mahala pake hapa peleka jukwaa la siasa, pili fitna zenu zinajulikana

Hatuhitaji ushabiki wako wa kijinga humu, nani hajui chadema ni zaidi ya cuf muda huu!!!!

Lakini tushaungana hatuhitaji tena kisikia hayo maneno yako ya kihuni!!!wapelekee waliokutuma ulete, shenzi shwain!
 
Wenye kufikiri kidogo utawapata. Ukweli ni kuwa cdm inavuna ikichopanda. Kumbuka hiyo ukawa haina hata mwaka. Lakini ni ukweli ulio wazi kwamba cdm ndio chama cha siasa kilichofanya kazi ya kisiasa zaidi kuliko vyama vyote ikiwemo ccm. Toka uchaguzi wa 2010 mpaka leo cdm ndicho kilichoenda kwa wananchi wengi na kufanya mikutano mingi ya wazi hasa kutoa elimu ya uraia kuliko chama chochote huo ndio ukweli ambao ccm, cuf, nccr nk wanaujua bila kujali wanaujubali ukweli huu ila ukweli ni ukweli. Hao cuf na nccr mnaojaribu kuwaprovoke ili ushirikiano huu uingie jinamizi wakicheza huo mziki wenu wa fitina tutawauliza kwa data walifanya mikutano mingapi hasa huku bara ambayo cdm imevuna bila kuvuja jasho? Vuja jasho kwanza ndio udai shibe kama aliyevuja jasho.
 
Katika vyama vya upinzani vilivyoanza kurudisha makali ni CUF imefanya vizuri sana ukilinganisha na nguvu yao ya kisiasa baada ya uchaguzi mkuu 2010 na migogoro mikubwa iliyopitia . Kama wakifanya kampeni za nguvu kamma miaka ya 95-2000 na 2005 wataibwaga sana sisiem. Cuf ndio chama kikuu cha upinzani katika jamii za mwambao wa bahari na tamaduni za kiswahil. Maalimu Seifu anauwezo mkubwa tatizo yuko bize , ubize wa sef unainyima cuf kukua.Seif azunguke pia bara.Ni umbumbumbu kusema cuf imezorota wakati imeamka
 
Chadema ina wabunge wangapi bungeni? ina madiwani wangapi?
Fitina hazitawasaidia ccm. Tumewakamata.
Mmeshindwa vibaya serikali za mitaa na mnaendesha propaganda kuwa mmeshinda kwa asilimia kubwa. Mtakwisha kama mshumaa huku mkupiga propaganda zenu. Na safari hii haibiwi mtu. Mkijaribu tu kulazimisha kama mlivyofanya Kawe. Tutawafundisha adabu. Mtajuta kwa nini mmechezea kura za watanzania.
 
Fitina hizi haziwezi kuzaa matunda! Hangaikeni na yale ya wazee wa Dar Es Salaam jinsi walivyomzomea Mwenyekiti wa Chama chenu na kumfanya aseme, "Napata kikohozi!"

umetumwa na Nepi ili kuvuruga Ukawa?sheitwan mkubwa weyeeeee
 
Back
Top Bottom