CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

chadema.jpg kila mtaaa unaopita madogo wote wanakupa ishara
 
wewe ndiye unahusika na mgomo huo wa madaktari.unadhani madaktari ni wajinga kama unavyofikiri! nenda Muhimbili ward ya wazazi ukaone kama angekuwa mama yako ndiye analazwa chini namna ile ungefurahi sana.punguza jaziba uiache akili yako ifanye kazi yake.
 
well.. tangu jana mmeona nikiripoti lolote toka ARumeru? don't doubt it. Kama ulikuwa na mpango wa kwenda kusherehekea you have my permission.
You have granted me one mkuu!!!

Wapi lite ya bardiiii!!!!!

Mama nanihii, hebu uhakukishe naamka saa 12 usubuhi nikakamate supu kwa mromboo!!
 
Nakuamini sana mzee Mwanakijiji; naanza kusherehekea ushindi:smile-big:!!! Asante kwa taarifa.

Alianzisha mada ilikuwa inasema CHADEMA WAKISHINDWA ARUMERU MASHARIKI UONGOZI WA TAIFA UJIHUDHURU, so ndio maana leo anasema haina haja tena ya Uongozi kujihudhuru
 
Nateremsha kiti moto tumboni na soda ya mountain dew. Chadema ni zaidi ya faru.viva cdm,DR.Slaa,MH.mbowe, mh.V.NYERERE,LEMA NA WENGINE ,HONGERA! Peoples power.
 
Confirmed:CHADEMA wamechukua udiwani kata ya Kirumba. Mshindi ameshatangazwa CCM No.2 CUF no.3 ni hekaheka mtaani vijana wanaimba chadema!chadema! peoples power!!!
Ni siku ya baraka kwa mageuzi nchini kwani hata huko songea kata ya Lizaboni CDM kidedea ccm wa pili, mwendo mzuri na tunawakumbusha kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha na haya matokeo sio ya kubeza na kikweli yanaeleza kituu kuhusu 2012.
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie!
 
Hongera CDM,:rockon:
Magamba kazi ipo hilo ndio tatizo la kuwahusisha Tyson na EL kwenye kampeni
 
Mmh! mi mwenzenu bado sijaamini! maana ccm hawaminiki hata kidogo! tunaweza anza kushangilia hapa<BR>alafu from no where ccm wakajitangazia ushindi kwa mtutu wa bunduki....tuendelee kuomba mungu awe<BR>upande wetu
 
Hii ni fundisho kwa CCM kwani mwaka 2015 tunategemea asilimia kubwa ya wapiga kura kuwa dotcom this means the dead end for CCM.
 
Back
Top Bottom