Steven Bicko
Member
- Oct 6, 2013
- 59
- 7
Chadema ndio habari ya mjini
una maana kama alhaji mbakaji kapuya au sijakuelewa?
Sasa Arusha ina naibu meya HALALI,Ila haina meya,msimamo wetu upo pale pale,kuwa Hatumtambui Meya kwa kuwa uchaguzi wa meya haujawahi kufanyika
Sasa Arusha ina naibu meya HALALI,Ila haina meya,msimamo wetu upo pale pale,kuwa Hatumtambui Meya kwa kuwa uchaguzi wa meya haujawahi kufanyika
we endelea kusubiri uulizwe,msofe nae ni fisadi tu, uliza ni kwanini aliondoka tra tanga?
Kimsingi uchaguzi huu wa naibu meya na wenyeviti wa kamati mbalimbali umefanyika kwa mujibu wa kanuni za serikali za mitaa za mwaka 1982,ambao hufanyika kila baada ya mwaka mmoja,uchaguzi huu hufanyika katika mkutano wa mwaka wa Halimashauri,
Baada ya uchaguzi wa mkuu 2010 na uhuni wa kupindukia uliofanywa na ccm kumpata Meya wa kichina,pia walimpa diwani wa TLP unaibu meya hata hivyo alijiuzulu wiki chache baadae baada ya shinikizo kubwa kutoka kwa wananchi,kufuatia kuuwawa na polisi kwa waaandamanaji.
Tangu 2011 Hakukuwa na Naibu meya Arusha,hivyo jana uchaguzi ulifanyika,ccm haikumsimamisha mgombea,bila shaka baada ya kusoma alama za nyakati kwa uwiano ulivyo sasa CHADEMA ina jumla ya madiwani 15,ccm 14 na Tlp 1,miongoni mwa hao wa ccm mpasuko ni mkubwa sana,(ni nyumba inayojibomoa yenyewe)Uchaguzi wa jana ambao ni kwa mujibu wa sheria na kanuni,mgombea pekee alikuwa ni wa CHADEMA,amekuwa mgombea pekee kwa kuwa madiwani wa ccm hawakuwa tayari kupata aibu si tu ya kushindwa uchaguzi wa naibu meya bali hata 2015,hii imetokana na kazi kubwa iliyofanywa na madiwani wa CHADEMA,Jumla ya wajumbe waliohudhuria kikao cha jana ni 28 kati ya 30,Mgombea wa CHADEMA akapata kura 25 za ndiyo na 3 za hapana,maana yake amechaguliwa na vyama vyote,
Arusha ina naibu meya ambaye uchaguzi wake umefanyika kwa misingi ya Sheria,na kanuni,bali Hakuna meya na msimamo wa kutomtambua Meya wa kichina upo pale pale.
[QUOTE=Rweye;7826021]CCM wanaendelea na kutengeneza muvi kurusha mitandaoni huku sie tunazidi kuwacharaza za ------ mpaka wakubali na huyo mmasaai E.L atajibeba kutwa misifa alafu jiji kwao hawezi hata kukomboa mtaa alafu anajipa matumaini!! anaonekana hatujuhi vizuri wapiga kura.
Tueleze vizuri.
Naibu meya wa jiji la Arusha alikuwa Michael Kivuyo? imekuaje mpaka kukafanyuka uchaguzi wa Naibu mayor.