CHADEMA yaibuka kidedea naibu meya jiji la Arusha

CHADEMA yaibuka kidedea naibu meya jiji la Arusha

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Mh Msofe Diwani wa Daraja mbili ndio ameibuka kidedea kwa kura 25 na kufanikiwa kuwa Naibu meya wa jiji la Arusha huku mpinzani wake akijitoa dakika za mwisho.
 
Mh Msofe Diwani wa Daraja mbili ndio ameibuka kidedea kwa kura 25 na kufanikiwa kuwa Naibu meya wa jiji la Arusha huku mpinzani wake akijitoa dakika za mwisho.

Tueleze vizuri.
Naibu meya wa jiji la Arusha alikuwa Michael Kivuyo? imekuaje mpaka kukafanyuka uchaguzi wa Naibu mayor.
 
Bila kusahau kuwa washiriki walikua wangapi kutoka kila chama na jumla ya kura zilizopigwa
 
Na Meya je, nani kashinda? au bado yule wa kichina anaendelea.
 
Mh Msofe Diwani wa Daraja mbili ndio ameibuka kidedea kwa kura 25 na kufanikiwa kuwa Naibu meya wa jiji la Arusha huku mpinzani wake akijitoa dakika za mwisho.

Tueleze vizuri.
Naibu meya wa jiji la Arusha alikuwa Michael Kivuyo? imekuaje mpaka kukafanyuka uchaguzi wa Naibu mayor.
 
Hii kali,yaani imefikia wapinzani wanajitoa?na mbona amepata kura zote hizo,je wajumbe walikuwa wangapi?
 
ccm imewaonjesha kidogo nao waone utamu wa kuongoza ila msiharibu nyie machadema
 
CCM wanaendelea na kutengeneza muvi kurusha mitandaoni huku sie tunazidi kuwacharaza za ------ mpaka wakubali na huyo mmasaai E.L atajibeba kutwa misifa alafu jiji kwao hawezi hata kukomboa mtaa alafu anajipa matumaini!! anaonekana hatujuhi vizuri wapiga kura.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ukisusa wenzako wanakula ile susa susa imemalizika mbona hatujapewa taarifa ?.
 
Back
Top Bottom