CHADEMA yaibuka kidedea naibu meya jiji la Arusha

CHADEMA yaibuka kidedea naibu meya jiji la Arusha

Tueleze vizuri.
Naibu meya wa jiji la Arusha alikuwa Michael Kivuyo? imekuaje mpaka kukafanyuka uchaguzi wa Naibu mayor.
kivuyo alikuwa naibu meya but alijiudhuru so wakaamua wapige upya
Mkurugenzi wa jiji iron lady spora aliwaambia TLP, CCM & CHADEMA wapeleke majina ya mgombea unaibu meya, ccm hawakupeleka wakasema watampigia wa TLP AU CHADEMA,
TLP wakapeleka jina la KIVUYO wakat CHADEMA wakapeleka MSOFE
but jana tareh 14 majira ya saa 8 na dk 10 mchana TLP wakapeleka barua ya KIVUYO kujitoa ktk mashindano
leo saa 4 wakapiga kura za ndio na hapana
ambapo walipiga madiwan wa arusha jiji, mbunge lema na jumla ni wajumbe 28
matokeo yakawa kama ifuatavyo;

kura 1 ikaaribika, 2 zikasema hapana 25 zikasema ndio hivyo kumpa ushindi bwana PROSPER MSOFE KUTOKA CHADEMA
madiwan wote walimsisitiza MSOFE kuacha tabia yake ya udikteta ambayo alikua nayo pindi alipochaguliwaga kuwa mwenyekiti wa muda
ambapo naibu huyo mpya aliaid kuacha na kuwaonyesha Utumishi uliotukuka
, hali ya mkutano huo ulofanyika katika chumba cha mkutano # 40 ulikuwa na amani na ushwari na makubaliano natumai nimeeleweka.

naomba kuwasilisha.
 
[QUOTE=Rweye;7826021]CCM wanaendelea na kutengeneza muvi kurusha mitandaoni huku sie tunazidi kuwacharaza za ------ mpaka wakubali na huyo mmasaai E.L atajibeba kutwa misifa alafu jiji kwao hawezi hata kukomboa mtaa alafu anajipa matumaini!! anaonekana hatujuhi vizuri wapiga kura.[/QUOTE]

INAONYESHA LOWASA ANAKUKUNA SANA HUYU MSOFE NAIBU MEYA WENU CDM WA KICHNA SI NDIO FSADI ALIEUNGANA NA MAGESA MULONGO RC WA ARUSHA ANAYEPGANIA KAMPUNI YA MATANGAZO YA SKYTEL NA WEWE UNAINGIA KICHWAKCHWA TU MIJITU MINGNE ---- U KABSA SJUI MNAWAZA KUPITIA MAKALIO
 
khe!! Huyu jamaa asa ilikuwaje mumasai simika yeye kuwa papaa raigwanani na kumbe ye ni mmeru?

Akhsante sana mkuu.

ukabila na uongozi wap wap na wap kachukue buku 2 kwa msofe na muongo kenge wewe
 
Wamasai...wameru..wakikuyu..wakalenjini wana utaratbu wa kununua kabila kimila kwa kuchinja ng'ombe na kondoo na kutoa ng'ombe so ata babu yake au baba yake anaweza kuwa albadili sema kwa sababu mmezaliwa matejoo kwa mfuga mbwa hamuwez kujua mnajua kuvuta bangii tu na kukaba ...wameru wengi wa tanzania na kenya wamelowea umasaini na wamasai wa tanzania na kenya wameloea kwa wameru wa tanzania na wameru wa kenya...moto wa el hamuuwezi

cc..rweye na vbaraka wenzako wa mulongo na mary chtanda
 
Pongezi kwa madiwani wote waliokipa imani CHADEMA na Mh. Msofe, kwa kumchagua kuwa naibu Meya.

Bado kazi ya kumwondoa meya Feki wa Kichina
 
kivuyo alikuwa naibu meya but alijiudhuru so wakaamua wapige upya
Mkurugenzi wa jiji iron lady spora aliwaambia TLP, CCM & CHADEMA wapeleke majina ya mgombea unaibu meya, ccm hawakupeleka wakasema watampigia wa TLP AU CHADEMA,
TLP wakapeleka jina la KIVUYO wakat CHADEMA wakapeleka MSOFE
but jana tareh 14 majira ya saa 8 na dk 10 mchana TLP wakapeleka barua ya KIVUYO kujitoa ktk mashindano
leo saa 4 wakapiga kura za ndio na hapana
ambapo walipiga madiwan wa arusha jiji, mbunge lema na jumla ni wajumbe 28
matokeo yakawa kama ifuatavyo;

kura 1 ikaaribika, 2 zikasema hapana 25 zikasema ndio hivyo kumpa ushindi bwana PROSPER MSOFE KUTOKA CHADEMA
madiwan wote walimsisitiza MSOFE kuacha tabia yake ya udikteta ambayo alikua nayo pindi alipochaguliwaga kuwa mwenyekiti wa muda
ambapo naibu huyo mpya aliaid kuacha na kuwaonyesha Utumishi uliotukuka
, hali ya mkutano huo ulofanyika katika chumba cha mkutano # 40 ulikuwa na amani na ushwari na makubaliano natumai nimeeleweka.

naomba kuwasilisha.

Mkuu Kilahunja,
Asante kwa maelezo yaliyojitosheleza, nimefarijika sana kwamba hata ccm wametukubali. Lakini bado kazi ya kumwondoa meya feki wa kichina
 
Last edited by a moderator:
Ni maandalizi ya kumng'oa meya wa kichina siku tu akisafiri anakuta ana lake,Msofe anakalia kiti zinapigwa kura za kutokuwa na imani na meya wa kichina na safari yake inakua imeishia hapo chezeeeeeee Chadema weeeeeeeeee akili kubwa uwezi linganisha na akili ndogo.
 
Mkuu Kilahunja,
Asante kwa maelezo yaliyojitosheleza, nimefarijika sana kwamba hata ccm wametukubali. Lakini bado kazi ya kumwondoa meya feki wa kichina

Mungi Leo ccm iliunga mkono chadema na mara baada ya meya kumtangaza naibu meya mr msofe alishukuru kwa kuchaguliwa lakini akasema bado hamkubali meya na anataka achaguliwe mwengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom