Meya ni nani.
Tueleze vizuri.
Naibu meya wa jiji la Arusha alikuwa Michael Kivuyo? imekuaje mpaka kukafanyuka uchaguzi wa Naibu mayor.
Ni Alhaji. Pro. Mbakaji.Juma A. Kapuya Mzee wa Akudo Impact Aids Transmitor to Opharns and totoz.
Meya ni nani.
Sahihisho EL si Mmasai ni MmeruCCM wanaendelea na kutengeneza muvi kurusha mitandaoni huku sie tunazidi kuwacharaza za ------ mpaka wakubali na huyo mmasaai E.L atajibeba kutwa misifa alafu jiji kwao hawezi hata kukomboa mtaa alafu anajipa matumaini!! anaonekana hatujuhi vizuri wapiga kura.
Funga domo lako..Mambo ya Arusha hayakuhusu kaa mbali kabisa...Meya ni nani.
una maana kama alhaji mbakaji kapuya au sijakuelewa?
Somo ni kwamba hakuna CCM Arusha...CCM Arusha imejifunza nini kutokana na uchaguzi wa Naibu Meya? Kitendo cha madiwani wa CCM kuipigia kura Chadema kunaipa somo gani CCM?
Kwanini Kapuya kabaka katoto cha miaka 14 na kukiambukiza maradhi ya Ukimwi....?Arusha kuko kama Pemba...
Arusha kuko kama Pemba...
Dah!!kapuya anakula vitu laini laini tu visivyo na jasho wala mtetezi na kuviunganisha na gridi ya taifa,kiguuuumu chama cha majangili....Naibu meya what so special?