CHADEMA yagota sasa yavamia hoja ya Dodoma City

Pale mnapo jaribu kula matapishi yenu.
 
Shame on you!
 
Yale maandamano yaliyoshindwa bila ubishi yalikuwa ni ya mbowe kudai demokrasia nchini tz inaminywa. Kwa hiyo Dada Mange akaingilia kutafuta njia ya kumsaidia mbowe na cdm yake na Ukawa kwa ujumla kupitia maandamano haramu ambayo watz wameyakataa katakata. Eti Magufuli step down! Nani ?!!!
 
Mbona mlihangaika na jf...yaani mnatumia jf kuandika upuuzi wenu kama huu bado hamlali mnaingilia jf isionekane online...
 
Mkimbizi mange=chama cha demokrasia ya matusi mitandaoni
 
Huo ni mkwara tu!
Mmeingia mteru wenyewe! Mnacheza na vyombo vya dola sio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…