CHADEMA yafutika Kigoma

CHADEMA yafutika Kigoma

Sir Kite 2

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
552
Reaction score
314
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
 
Umeandika maneno mengi kutaka kupotezea, lakini jambo hasa ulilotaka kusema ni kwamba Zitto na Peter Serunkamba wamekubaliana kubadilishana majimbo ya kugombea ubunge! Sasa mtu anayekaa na CCM kukubaliana kuhusu mahali pa kugombea, jina gani hasa linamfaa?
 
Mbona Mbowe alituhumiwa kukaa na Mkono na kuchukua hela ili hasipige kampeni Musoma vijijini Mkono apite bila kupingwa, ulishamsikia Mbowe akikanusha tuhuma hizo? Nikinukuu gazeti la Mwananchi Mbowe alisema tatizo siyo kuchukua hela, ila unazitumiaje!
Huyu yeye naye tumwite msaliti kwa kuuza jimbo?
 
attachment.php
 
kili9kuia kimeandikwa kwa kalamu ya chuma?
 
Umeandika maneno mengi kutaka kupotezea, lakini jambo hasa ulilotaka kusema ni kwamba Zitto na Peter Serunkamba wamekubaliana kubadilishana majimbo ya kugombea ubunge! Sasa mtu anayekaa na CCM kukubaliana kuhusu mahali pa kugombea, jina gani hasa linamfaa?

Jina sahihi ni wao wao b, nilikua kgm town mwaka jana act walianza mapema kumnadi mpendwa wao mwenye uchu na madaraka eti atagombea jimbo hilo la kgm mjini, kule kaskazini alikosa mvuto.
 
Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Kwanini Peter serukamba anakimbia kigoma mjini , au ndio yale makubaliano waliyofikia kati ya ccm na zitto ?
 
baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha act na baadhi kuamua kurudi ccm,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
acha unafiki wewe. Aliyekutuma kufanya ivo kafeli ajipange upya kuondoka watu wachache sio kufa kwa chama
 
jabulini habari ya zitto na serukamba kupeana majimbo mimi sijui,na sidhani kama hicho kitu ni very official,ila kila mmoja anapima upepo,so uamuzi wa wapi akagombee na ni wake binafsi ili hali natambua sheria za nchi zinaruhusu.
 
Ni aibu Mkoa mzima Kumtii Zitto, Ni aibu Kama watu wa Kigoma Walifuraishwa na Zitto Kuanzisha CHAMA ndani ya Chama. Ni hatari sana Kwa Watu Kufuata Siasa za Kiukanda, Kimkoa.
 
Hivi huko jimboni kwa Zitto kafanya jambo gani linalomfanya anyenyekewe sana?...naomba kujua jibu kwa waliofika Kigoma na waishio huko
 
Nafikiri kigoma wako juu ya siasa za ukanda na za kutegemea mtu!
 
Back
Top Bottom