KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Hakuna anayetarajia matokeo ya juhudi hizi leo leo; lakini hizi haziwezi kuwa juhudi za bure zisizoweza kubadili hali iliyopo.Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu
John Mnyika yupo kanda ya Pwani
View attachment 1983218
Kigaila yuko Karatu .
View attachment 1983219
Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .
Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .