CHADEMA yaendeleza Mapambano , viongozi waanza ziara nchi nzima

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,825
2,000
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
Hakuna anayetarajia matokeo ya juhudi hizi leo leo; lakini hizi haziwezi kuwa juhudi za bure zisizoweza kubadili hali iliyopo.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,825
2,000
UTU gani unaozungumzia hapa? Hamna dira mmehangaika kwa zaidi ya miongo miwili na mlikuwa katika nafasi nzuri ila mmeshindwa kabisa kuitikisa CCM kubalini mwendo mmeumaliza tayari.
Nadhani hujui unachokizungumzia hapa kuhusu hali mbaya inayolikabili taifa hili.
Wakati huu CCM ilipotufikisha, ni heri yeyote achukue wao wakae pembeni, hali imekuwa ni mbaya kiasi hicho

Kwa hiyo, hata kama unajuwa ubovu wa CHADEMA, kwa hali iliyopo, itakuwa nafuu zaidi kwa Tanzania yetu CHADEMA ikiweza kuwaondoa hawa CCM wanaong'ang'ania kwa nguvu kututawala.

Bado huelewi?
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,145
2,000
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
Chadema ni zaidi ya Chama cha siasa.
 
nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
803
1,000
Nadhani hujui unachokizungumzia hapa kuhusu hali mbaya inayolikabili taifa hili.
Wakati huu CCM ilipotufikisha, ni heri yeyote achukue wao wakae pembeni, hali imekuwa ni mbaya kiasi hicho

Kwa hiyo, hata kama unajuwa ubovu wa CHADEMA, kwa hali iliyopo, itakuwa nafuu zaidi kwa Tanzania yetu CHADEMA ikiweza kuwaondoa hawa CCM wanaong'ang'ania kwa nguvu kututawala.

Bado huelewi?
Ajitokeze kiongozi mmoja wa ngazi ya juu, awe front apigwe risasi ndipo haki itapatikana ila kwa hili la kutupiana mipira sio suluhisho.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,825
2,000
Ajitokeze kiongozi mmoja wa ngazi ya juu, awe front apigwe risasi ndipo haki itapatikana ila kwa hili la kutupiana mipira sio suluhisho.
Sijui unachokiandika hapa!

Unataka huyo kiongozi gani apigwe risasi, wa CHADEMA au CCM? Na kwa nini unataka "ajitokeze"apigwe risasi?

Naona wewe bado upo mbali sana kujuwa mambo yanavyokwenda. Kwani Lissu hakupigwa risasi? Huoni Mbowe anavyosurubishwa?

Huko "kupigwa" risasi ndiko unakodhani kutawapa nafuu hao wanaonyima haki? Akili yako haikuwezeshi kuona kwamba kila mbinu waliyofanya CCM kuwanasa CHADEMA, kama hii unayoihimiza hapa, kwamba mbinu hizo zimeshindwa kuiua CHADEMA? Hivi wewe unaishi wapi usiweze kuyaelewa haya!
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
18,564
2,000
YAANI UNAJIPAGA KAZI NGUMU KUISIFIA HIYO CHADEMA NI SAWA NA KUCHUKUWA MAVI NA KUANZA KUYAOSHA KUWA YATANUKIA NEVER TAFUTA UPENZI MWINGINE SHABIKIA HATA MPIRA UTAPATA UGONJWA WA MOYO BURE NA HIYO CHAGADEMA YAKO
Tangulia na wewe Chadema ipo palepale
 
nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
803
1,000
Risasi moja tu au 38 kama alizotandikwa Lissu ?
Alipigwa akiwa Frontline ama alipigwa na wahuni akiwa anaelekea kwake? Tunataka hayo maandamano mnayatoitisha katika social media yawe real, mtoke wote wewe na viongozi wao muwe frontline tuwaone mkivunjwa miguu ndio mtapata nguvu ya umma nje ya hapo msitegemee miujiza ya kuitoa CCM madarakani.
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,059
2,000
Hii ndio kazi mpya kuanzia muda huu

John Mnyika yupo kanda ya Pwani

View attachment 1983218

Kigaila yuko Karatu .

View attachment 1983219

Ni mikutano ya ndani kwa ndani ambayo yanayoongelewa ni vigumu kuyajua na imesambaa nchi nzima mithili ya nzige kwenye shamba la mahindi .

Tuendelee kubaki hapa hapa Jf kwa Taarifa za Uhakika .
Hayo ni mapambano au mapambio? 😂😂 Naona chadema mnafarijiana jinsi mtakula keki ya Taifa 😁😁
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,628
2,000
YAANI UNAJIPAGA KAZI NGUMU KUISIFIA HIYO CHADEMA NI SAWA NA KUCHUKUWA MAVI NA KUANZA KUYAOSHA KUWA YATANUKIA NEVER TAFUTA UPENZI MWINGINE SHABIKIA HATA MPIRA UTAPATA UGONJWA WA MOYO BURE NA HIYO CHAGADEMA YAKO
Weee TAGA katage mayai Kwa Siyani upewe mgao
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,628
2,000
Alipigwa akiwa Frontline ama alipigwa na wahuni akiwa anaelekea kwake? Tunataka hayo maandamano mnayatoitisha katika social media yawe real, mtoke wote wewe na viongozi wao muwe frontline tuwaone mkivunjwa miguu ndio mtapata nguvu ya umma nje ya hapo msitegemee miujiza ya kuitoa CCM madarakani.
Mbwa Koko kama wewe siku yaja utafute uwezo WA kupanda mtini ukose Hadi unyonywe macho
 
chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,668
2,000
Sasa so wafanye hadharani media mbona zipo tuwaone live,ss wanaogopa nn kujificha vichochoroni utadhani mapusha wa bange!!,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom