CHADEMA yaaibika Kigoma


Soma vizuri hoja uielewe na ujibu kwa mpangilio! vipi, ulikua haupo? naona umekurupuka moja kwa moja yaani kichwa, bango mkuki.
 

Sishangai matusi yenu, jengeni hoja.
 
Ok nasema hiv mtu ambae hataki ichi yetu iwe na amani tutamjua tu, nakwasababu yeye anapopakukimbilia baada ya machafuko kulipuka huyo hatufai, kama hafahamu kuwa watanzania bado wanapambana na maisha na hataki kuelewa huyo hatufai kabisa , baba zetu wasio na uwezo, mama zetu, bibi zetu, dada zetu, kaka zetu, wadogo zetu nk, ya kuwa machafuko yakiaanza ndio waathilika wa kwanza huyo hatufai, na kama ameshindwa kupambana katika uwanja wa siasa kwa kisataarabu baada ya kufiriska hoja na sera huyo hatufai, na sisi watanzania kwa kuwa tuna akili tukimjua huyo hatuafai, tutamjua kwa maneno, vitendo huyo hatufai, shida ni kwamba wengi wanadanganywa na hivyo mkombozi pekee ni kuwaelimisha watanzania kuhusu watu wa namna hii, kama kuna mtu anadhani atatumia mtaji wa watu kwa namna yeyote ile basi anajidanganya, na mtu kama huyu hatufai hata kidogo, aende zake huko akalime shambani kwake kuliko kutuletea machafuko, mifarakano na kutukosesha amani na utulivu nchini mwetu huyo hatufai na niwa kumuugopa kama ukoma, Tanzania oye!
 
Naona walioshiba wanatukanana. Je umewaza juu ya maisha wazee wenu wanayoishi huko vijijini? Je hali ya vituo vya afya, elimu, barabara, ...inakushawishi kurudi na kuishi humo?
 
mimi ni mzawa kabisa wa kanda ya ziwa chadema haiwezi kufa kanda ya ziwa hata siku 1 sisi huku wote ni wakristo wakulya, wasukuma na wahaya adui yetu wa kwanza ni mkwere na muha mwislam lakini si mkristo hilo halina mjadala

jitathmini upya! hizo sio sera za chadema ila ni mtazamo wako binafsi halafu dhana hiyo si utanzania huo ni unyani!
 
 
Kwahiyo wamukodi hiyo balun ya watu 5 kuja kwenye mkutano kaangalie ccm ndio utajua maana ya kukodi magari msingepata hata fuso moja hapo ambayo haina kazi hao ndio wAnakodi kajipange upya buku saba umeshakosa
 
Mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .

LA KUVUNDA HALINA UBANI


Hao watu kwenye magari mbona siwaoni? Mimi naona saloon yenye bendera ya CHADEMA tu. Hongera great thinker !
 

Do you know that thoughts become things?
Ukianza kufikiria ukabila na ukanda, utaishia kuwa mkabila.
Na amini au usiamini, ukabila ni dhambi ya mauti.
Wapo watakao kuuliza, Zitto ni kabila gani?
Unalo jibu?
Acha kutangaza ukanda na ukabila.
Popote wanapoishi watu wa Kigoma, wanapendwa na kukubalika.
Kwa nini mnalazimisha wachukiwe kwa kueneza ukanda?
Kwa sababu ya Zitto?
Zitto siyo malaika, alikosea na akaondolewa kundini.
Hawakuondolewa watu wa Kigoma.
Tujenge Tanzania kwa pamoja.
 

Tukiendekeza huu mfumo tutabaguana sana tu. Anglia hiyo list ya viongozi ACT Kigoma.

Kiongozi mkuu ACT Taifa - ZZK (Mwislamu)

Mwenyekiti mkoa Wa Kigoma - Ibrahim Sendwe (Mwislamu).

Katibu mkoa - Msafiri (Mwislamu)

Katibu mwenezi mkoa - Juma Ramadhani (Mwislamu)

Mweka hazina Mkoa - Akida Ayubu (Mwislamu)

Mwenyekiti ngome ya Wazee mkoa - Mzee Kasisiko ( Mwislamu)

Mwenyekiti ngome ya vijana - Bwandu Ndaje (Mwislamu)

Watia nia za Udiwani waislamu, Mtia nia Wa Ubunge tangu mwaka Jana 2014 ambaye ni mkristu ameamrishwa kumuachia ZZK (Mwislamu) achukue nafasi hiyo.
 
Ndo madhara ya kukimbia shule hayo maana unaongea kitu ambacho hata wewe mwenyewe haukiamini.

Umeweka picha ya Carina ina Bendera ya Chadema tena hatujui hata kilichopo ndani ya hiyo gari halafu unatuambia CHADEMA wanasomba watu.

Ili watu wakuelewe na kuamini ulichokiandika ulipaswa kufanya yafuatayo;

1.Onyesha picha za watu wakiwa wanasombwa.

2.Onyesha picha za mkutano ambako hao watu wanaosombwa wanapelekwa.

3.Piga picha za vyombo vinavyotumika kusomba watu na siyo hiyo Carina yenye Bendera.
 
Sishangai matusi yenu, jengeni hoja.

Mh!Mkuki kwa nguruwe.Ulivyotukana tukakuvumilia ukadhani hatujui kashfa eh.Pole Ukiona mtu yuko kinyume naye usianze kumtukana kwani na huyo mtu naye anayajua.Pole.

Ulipoanza nilikuvumulia kwa muda nilipoona unafanya mazoe nikamuua kukuonyesha kuwa hata mimi na uwezo wa kujibu kama unavyofanya.A golden rule usichopenda kutetendewa usimtendee mwenzeko.
 
tujadili wanaotuibia mali zetu...
tutafakari namna gani tutavuka oct ...25 bila umwagaji damu
 
Mkutano wa chadema uliofanyika Kigoma baada ya kuona wananchi hawataki kusikiliza habari zao za kikanda na kidikteta.

Wakaja na mbinu mpya ya kuwasafirisha watu kwenye magari ili waende kwenye mkutano .

LA KUVUNDA HALINA UBANI

Na bado vibaraka wa Zitto mtaiota sana chadema mwaka huu
 
Weka picha kama kweli msingi hiyo imebomolewa? Usiwe kama huyo aliye weka bandiko cdm yaaibika bila ushadi . wana cdm na Wana act kama vile mko viroba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…