CHADEMA wazuru Kaburi la Baba wa Taifa Butiama

CHADEMA wazuru Kaburi la Baba wa Taifa Butiama

Thanks Mpwa for the good signature!!! Acha kuhangaika na pro-Kikwete.

"What Do You Care What Other People Think?"
It's either you don't think,or you think in a different way from what i think!

Its JF,where we dare to talk openly
​
 
Kila la kheri ila kadi jamani kabla sijaondoka nyumbani kurudi kibaruani huku uhabeshini nilizunguka sana katika ofisi za matawi,najua bado mnaendelea kukua ila kadi msisahau kwani natumaini kupitia michango hiyo ya ununuzi wa kadi itasaidia japo kidogo kwa baadhi ya utekelezaji wa shughuli za chama.
Kitaeleweka tu
 
Kila baraka ziwafikie kwa jitihada zenu. Hila baada ya kwenda kwenye hilo kaburi mrudi na sera sasa either mwalimu awaambie au muanze kutoa sera mbadala za maendeleo.

Watanzania wamesha choka na maisha magumu, serikali ya CCM ina sera mbovu ziliochanganywa na utapeli wa hali ya juu. Yes utapeli aupendwi na wote isipokua mbinu pia za maendeleo hamna. Its about time sasa Chadema kuacha kutunadia mbuzi ndani ya gunia how about policy for once. Si ndio siasa zenyewe hizo kuja na sera mbadala za maendeleo au?

Maana huko kaburini sijui mtarudi na nini cha kutuambia kuhusu mipango ya maendeleo zaidi ya publicity stunt nyingine na uzalendo wa madoido tu. Its about you guys talked real politics now and enough of this unproductive stunts.

God forgive us, the world is now believing on the dead than it should believe you
 
Nawatakia mafanikio mema chadema na nawapongeza kwa uamuzi huo najua sio mara ya kwanza wana chadema kufanya hivyo. CCM sasa wamechachawa baada ya kuona wamepoteza uhalali wa kutawala miongoni mwa vijana wengi. Keep it up CDM.
 
It is important to question things because;
It allows you to get a better understanding of them.
It is however of greater importance to question things when you know that the person you are questioning has the competence to answer the question.
(Here,i didn't ask you dude)

Although it is important to question things;

you must be aware that when pose your questions to peopl,there are some who would take offence to your approach or perspective.
(when i asked,i knew there are people like you)​



Since you didn't start the thread,it was wise to put your hand at ease because it was not worthy answering
Nice time
Vipi Matokeo ya Form Two yametoka, umepass au?
 
Haya yalikuwa wazi siku nyingi mkuu!!! Tatizo ni jinsi ulivyouliza, kishari...
Au umeanza kufuatilia siasa juzi nini!!!!

Hahahaha,duh
Yaani umesoma tu post yangu ukajua nimeuliza kishari?

We inaonekana ni sawa na wale watu wanao ona mtu sura "ngumu" wakajua ni gaidi /dicteta na wakaona mtu anacheka kama "nanihii" wakajua ni mpenda watu!

Stop being literal man,sio kwa kuwa una shabikia chadema /ni mfuasi wa chadema basi kila utakae ongea naye ni mfuasi wa chadema!

Wengine hatuna vyama,ila tunapenda mabadiliko.
Katika kupenda mabadiliko hatwendi tu kama "mazuzu" tunaangalia mabadiliko yaakuja na chama cha namna gani!

Kama chama chenyewe ndo cha kuuliza swali wana define ulivo andika?
Wanaangalia sura na kujua ni mtu wa aina gani?
mmmh,kazi tunayo!

Am not a politician,after all siwezi sema nimeanza fuatilia siasa zamani,am just a little kid bado,.....long way to "trust" chama hadi niwe mwanachama wake hapa duniani!

Ila nitashabikia na kuunga mkono chama kinacho onesha kujali maslahi ya umma (na katika hayo siangalii tu na kusema wanajali,natafuta kujua na upande mwingine unao sababisha waonekane "kujali maslahi ya umma",....je ni njia ya kupata madaraka afu wawe sawa na watakao ondoka?au wana nia ya kweli kabisa kuleta mabadiliko ya kimfumo wote?)
 
Lengo ni nini hasa dada Regia?

Wow,....
what a question!
Utakuwa mjinga kama utakaa kupiga makofi kwa kila kitu tu na bila kujua sababu yake,....its worse for one's mental capability

Bora na wewe umeamua kuavoid "Main stream of thinking ambayo wana JF wengi nimegundua wanayo"
 
Nichokochoko tu hakuna kingine kwasababu hapa hapa jamvi january kulikuwa na bandiko lilo kuwa linaenda kwa "Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere" ukilipitia utangundua mbowe amekuwa akienda mara kwa mara kwa Nyerere.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/15996-uhusiano-wa-freeman-mbowe-na-jk-nyerere.html

Kwa hiyo wameenda kwa sababu "mbowe ana uhusiano/alikuwa na uhusiano mzuri na Nyerere"?
Tofauti na hivo isingetokea?
Safi ,nakusanya maana za hiyo visitation
 
asanteni, tupo pamoja, tunaomba kitengo cha "mawasiliano kwa umma" kitupatie picha na video ktk youtube na hapa jamvini maana tv zetu hazitoi airtime ya kutosha.
 
It is important to question things because;
It allows you to get a better understanding of them.
Since you didn't start the thread,it was wise to put your hand at ease because it was not worthy answering
Nice time
Naomba msaada kwenye hiyo sentensi, ulikuwa na maana nilegeze mwili au? seriously umeniacha kwenye mataa unajua vingereza viko vingi tutajuaje.
 
Mkuu Speaker,

nataka wewe na watu wengine wote wajue kwamba nimekupa thannks hapo ukurasa wa pili wa thread hii.

Itarahisisha sana kupeana taarifa kama mtu atakuwa anajibu swali badala ya kubwabwaja matusi na kejeli.

Pia nimempa PayGod thanks kwa kujibu swali ulilokuwa unauliza kwa kuweka ushahidi mezani

Yaani wanadhani wanajenga kumbe wana bomoa,na wengine wana jidai wana chadema na wasemaji wa chama ili kujubu utumbo utumbo tu,
Ukiuliza wameharukia kujibu pumba huku swali limelenga "anae fahamu" sio anaeweza kuandika andika tu!

Anyway,....naamini majibu ya PayGod ni mazuri sana na yana uthibitisho,....yameondoa kiu yangu ya kumsubiri Regia aje kujibu
 
Mi CDM lakini pia born again christian, kwamba kuna baraka makubirini, i don't know

Hata me naungana na wewe makabulini hakuna baraka na pia hakuna connection kati ya wafu na walio hai,me nazan tumuenzi baba wa taifa kwa kufuata miiko yake aliyoiweka na mazuri aliyoacha na si kwenda kaburini kwake kusali
 
Baba wa Taifa huko aliko anawaona tu juhudi zenu, hivyo msisite kabisa kuendeleza hayo mapambano
 
Safi sana huo ni uungwana kumkubuka baba wa Taifa mwasisi wa TANU na CCM, ingawa aliyowaachia wamebadili misingi ya chama na kuwa mafisadi.
 
Sidhani kama kuna dini inayokataza kuzuru makaburi (wakristo na waislam), ni biblia gani hiyo labda yangu ni tofauti, naomba tusiliendeleze sana hili.
1. Ila sijakuelewa unaposema Nyerere ni muasisi wa CCM kwa hiyo una maana wengine hawaruhusiwi kwenda kwenye kaburi lake.
2. Unaposema anachukiwa na wengi (wepi?), tusifike huko aliyekufa amekufa hata kama ulikuwa na differences once akitangulia mbele ya haki ni kibinadamu kumpa heshima zake.

Hakuna dini inayo kataza kutembea makaburi!
Tatizo limeanzia kwa mchangiaji mmoja ambae alisema "watoke na baraka kwenye kaburi" mwingine akasema "wakitoka humo nyerere awaelekeze" (angalia huko juu utaziona)

Hicho ndicho kinacho pingana na maandiko matakatifu: soma [SIZE=+1]Deuteronomy 18:10-12 [/SIZE]

[SIZE=+1]There shall not be found among you any one that makes his son or his daughter pass through the fire, one who uses divination, one who practices witchcraft, or one who interprets omens, or a sorcerer, or one who casts a spell, or a medium, or a spiritist, or one who calls up the dead. "For whoever does these things is detestable to the LORD; and because of these detestable things the LORD your God will drive them out before you.[/SIZE]

Kwa maana ya wale waheshimiwa,ni kwamba wameenda kutembelea kaburi (au mizimu kwa maana nyingine) ili warudi na baraka!

Ndo maana ni vyema wahusika wakatuambia "sababu ya msingi,au maana ya kutembelea kaburi kwao" ili kuondoa mkanganyiko

mwingine huyu hapa:
Baba wa Taifa huko aliko anawaona tu juhudi zenu, hivyo msisite kabisa kuendeleza hayo mapambano
 
Toka amekufa ndo leo chadema inaenda?
12 years?oh my God

1999 chadema haikuwepo?
why now?

Asume umefiwa afu mtu anakuja kuhani after 12 years lol
Au ndo kutembelea museum?

Anyway,all the best!

Pale Bitiama pamefanywa sehemu ya makumbusho ya taifa, usipachukulie kama msiba wa kijijini kwako. Unaweza kupatembelea hata baada ya miaka 100
 
Toka amekufa ndo leo chadema inaenda?
12 years?oh my God

1999 chadema haikuwepo?
why now?

Asume umefiwa afu mtu anakuja kuhani after 12 years lol
Au ndo kutembelea museum?

Anyway,all the best!

Inaonekana kwa miaka 12 iliyopita ulikuwa hufuatilii habari za Chadema. Kwa taarifa yako Chadema wana uhusiano wa karibu na wako more welcomed than Ccm kwenye hiyo "museum".
 
Pale Bitiama pamefanywa sehemu ya makumbusho ya taifa, usipachukulie kama msiba wa kijijini kwako. Unaweza kupatembelea hata baada ya miaka 100

Hakuna dini inayo kataza kutembea makaburi!
Tatizo limeanzia kwa mchangiaji mmoja ambae alisema "watoke na baraka kwenye kaburi" mwingine akasema "wakitoka humo nyerere awaelekeze" (angalia huko juu utaziona)

Hicho ndicho kinacho pingana na maandiko matakatifu: soma [SIZE=+1]Deuteronomy 18:10-12 [/SIZE]

[SIZE=+1]There shall not be found among you any one that makes his son or his daughter pass through the fire, one who uses divination, one who practices witchcraft, or one who interprets omens, or a sorcerer, or one who casts a spell, or a medium, or a spiritist, or one who calls up the dead. "For whoever does these things is detestable to the LORD; and because of these detestable things the LORD your God will drive them out before you.[/SIZE]

Kwa maana ya wale waheshimiwa,ni kwamba wameenda kutembelea kaburi (au mizimu kwa maana nyingine) ili warudi na baraka!

Ndo maana ni vyema wahusika wakatuambia "sababu ya msingi,au maana ya kutembelea kaburi kwao" ili kuondoa mkanganyiko

mwingine huyu hapa:


There you are! when someone tells you that religion forbid you better ask for reference and not just refuse to accept the truth

STOP doing that it is a SIN!

It is written in Ecclesiastes 9:5 For the living ( thats you ) know that they will DIE; but the DEAD do not know ANYTHING; they have NO FURTHER reward, and even the memory of is forgotten.

Remember what the real Messiah said in Luke 24:25 You are a FOOL if you don't believe ALL that the prophets have spoken.
Don't let some lying preacher boy tell anything different


(Ecclesiastes 9:5, 6, 10).
"For the grave cannot praise thee, death cannot celebrate thee: they that go down into the pit cannot hope for thy truth. The living, the living, he shall praise thee, as I do this day" (Isaiah 38:18, 19). Would not the righteous dead praise God if they were ushered into heaven at their death? David repeats the same timeless truth, "The dead praise not the Lord, neither any that go down into silence" (Psalm 115:17). "For in death there is no remembrance of thee: in the grave who shall give thee thanks?" (Psalm 6:5).


Ndio maana nikauliza lile swali maana kidini...kikristo is just teaching us common sense! is a wastage of time! wakristo wengi wa kweli wamekereka....though the ACTION IS NO SERIOUSLY QUESTIONED IN RELIGION BASIS

Thanks mr. Speaker sikutaka kwenda mbali kiasi hicho
 
Back
Top Bottom