Unazungumzia context mbili to facts...Hata Makaburu walizungumza na ANC licha ya kuwafunga na kuwaua
kuzungumza sio lazima mkubaliane...CHADEMA wanaweza kutoa 'masharti' ya kuikubali ACT ndani ya UKAWA
ikabaki kazi ya ACT kukubali au kukataa masharti
No, sijasema kuwa Chadema wazungumze na Zitto tu pale atakapokuwa na nguvu za kuijeruhi na kuimaliza Chadema. Tayari Zitto anaamini kuwa hizo nguvu anazo. Ninachosema ni kwamba Chadema isonge mbele without Zitto. Namfananisha Zitto na Zuberi Mtemvu 1959 alipojitoa TANU kwa kutokukubaliana na sera za TANU kuhusu uraia wa Tanganyika na kuanzisha chama chake cha Congress. Katika uchaguzi uliofuata TANU ilifunika na Mtemvu akawa history. The same fate awaits Zitto and his party.
Pasco,Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.
Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.
Pasco
Usisahau Mtemvu alikuwa Secretary General wa TANU. Angegombea 1959 kwa tiketi ya TANU bila shaka angeshinda.Kuna kitu naona unakisahau
Enzi za TANU na Mtevu angala chaguzi zilikuwa fair..
enzi hizi chaguzi zina 'all dirty tricks'
Mtemvu hakuwahikushinda lolote before,Zitto kashinda twice uchaguzi
enzi hizi zenye 'all dirty tricks' na kashiriki mipango mingi ya CHADEMA iliyopelekea CHADEMA kushinda
majimbo......hate him but he is no fool....akiamua kuijeruhi CHADEMA anaweza...kuzungumza nae
kunaweza saidia sana tu.....hasa kama atapata 'a little respect' from CHADEMA...nafikiri
ni Abraham Lincoln aliwahi sema 'i destroy my enemies by making them my friends'
Unazungumzia context mbili to facts...
Zitto ni kirusi, chadema should avoid him kabisa... Ni dalali wa watawala
Mkuu Jasusi, suala Zitto kuamini kuwa anazo, watu wenye uwezo wa kufuatilia 'the anatomy of individual powers', Chadema haina mtu yoyote as powerful as Zitto!, hivyo Zitto kuwa na powers hizo sio suala la kuamini anazo, bali nguvu hizo anazo na zinaokena wazi kwa macho tuu!. Hapo kamwe sijamsikia Zitto akisema jambo lolote against Chadema!, by nature ya position yake ya NKM, lazima ana hold weapons of mass destruction ya Chadema ambazo ameziweka akiba 'saving the best for the last', hivyo tusibiri mshuhudie 2015 ikulu ni CCM tena!.Tayari Zitto anaamini kuwa hizo nguvu anazo. Ninachosema ni kwamba Chadema isonge mbele without Zitto.
Usisahau Mtemvu alikuwa Secretary General wa TANU. Angegombea 1959 kwa tiketi ya TANU bila shaka angeshinda.
Afadhali tuhimili majeruhi ya Zitto dhidi ya Chadema kuliko kumrudisha katika ushirikiano. It is that open.
Mkuu The Boss, ili kuweza kufanya kitu kinachomake sense, kwanza, ni hao wahusika wawe na uwezo 'ability' to see that sense!, ndipo then wafanye maamuzi yanayomake that sense!, hao wenye uwezo wa kuona hiyo sense huko Chadema wapo?!. I don't think!.TANU walikuwa na mtu anaitwa Julius K Nyerere....
CHADEMA wana mtu level ya Nyerere now?
Ukweli ni kwamba hatujui ni kiasi gani Zitto atamalizika after uchaguzi au kiasi gani
ataijeruhi CHADEMA after uchaguzi......mazungumzo ya kuepusha 'possibility ya kujeruhiwa' now
yana make sense....
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.
Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.
Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..
Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...
Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.
ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine
sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.
Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.
CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.[/QUOTE
Kuzungumza na mchepuka wa CCM! dalili zote za kuwa mchepuko wa ccm ni wazi!!
Asante na muda ukifika nitakukumbusha!, kitu kizuri kuhusu misimamo yangu ni kusimama kweli kweli moja tuu na siku zote ukweli ndio utasimama!.Pasco,
Wewe msimamo wako unajulikana. Hakuna sababu za kukujibu hapa.
Mazungumzo bila ya shaka ni wazo zuri lakini....
Unaweza kuongea na mtu anayeweza "kusikia". Sasa ameshindwa "kusikia" akiwa mwanachama na kiongozi wa CDM ndio atasikia akiwa "kiongozi mkuu" (yeye sio mwenyekiti kama Mbowe, Lipumba na Mbatia!, ni 'zaidi' yao) wa ACT?
ZZK ni mpiga zumari.........! Unless kama unataka kushauri kuwa UKAWA au CDM wapandishe dau kuzidi la CCM!:confused2:
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.
Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.
Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..
Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...
Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.
ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine
sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.
Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.
CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.