hujaelewa. ni kwamba baada ya kuzomewa pale stand, akaamua kujikosha kwa kumsifia mbunge wa ccm
huko kuzomewa ni ishara kuwa wananchi wamewachoka
Mpenda Ngono utamjua Tazama mkono wakushoto alivyo kunja ngumi yake kafanya nini??kidole gumba kakiweka wapi!!!:glasses-nerdy:CCM naona wamemchukua huyu balozi kwa "mkopo"
![]()
katika hali ya kawaida chadema haiwezi kuzomewa mwanza.nimetembea sana nchi hii kwa sasa chadema ni mkombozi wa watu na ukileta upuuzi unaondolewa na wananchi wenyewe.
mkuu mimi nilikuwepo kwenye mkutano huo. Huyu jamaa ana haki roho imuume kwani CCM iliingia gharama kubwa sana kununulia watu pombe na kuwatisha kwa kutumia mabalozi wao ili watu wasiende kwenye mkutano huu ,Lakini watu walikunywa pombe na fedha walichukua na mkutanoni wakahudhuria kwa wingi. Wewe huwezi kuona alivyojichanganya kwa kuchanganya Wilaya ya misungwi katika matukio ya Wilaya nyingine. Hata ukiwa mwongo hata jiografia hujui??!!?Labda kama unamaanisha MUWANZA ya Zambia lakini sio MWANZA ya Tanganyika tunayoifahamu!
CCM Mwanza Tanganyika ilishazikwa siku nyingi.
Hapo Shonza mbele Mwampamba nyuma kwi kwi kwi kwi...ccm wachafu
Huyu mwenye kipara amefanana na kiongozi mmoja mwandamizi wa Al Shaabab
Kajipange upya na uongo wako.VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.
Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.
Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.
Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00 alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo maeneo hayo.
Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma aliishia kumfagilia Kitwanga Mawe Matatu, akidai kuwa anapambana na ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii, lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
Labda kama unamaanisha MUWANZA ya Zambia lakini sio MWANZA ya Tanganyika tunayoifahamu!
CCM Mwanza Tanganyika ilishazikwa siku nyingi.
Hindee moniii -- hindeee monii eeee - pumba eee pumba; utakula pumbaa....
![]()
Kaka huruma!!... Sina cha kusema vipi dada huruma na mama huruma wako karibu nawe?VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.

All my Ladies, All my Ladies, Pu**y, Pu**y..... Kukere Kukere......
Wamekazana kweli kweli.... Sitta upo?![]()
Zilipanda wakamwaga RADHI......