CHADEMA wazomewa Mwanza

CHADEMA wazomewa Mwanza

Labda kama unamaanisha MUWANZA ya Zambia lakini sio MWANZA ya Tanganyika tunayoifahamu!

CCM Mwanza Tanganyika ilishazikwa siku nyingi.
 
katika hali ya kawaida chadema haiwezi kuzomewa mwanza.nimetembea sana nchi hii kwa sasa chadema ni mkombozi wa watu na ukileta upuuzi unaondolewa na wananchi wenyewe.

VIONGOZI wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana,
Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa
eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa
hadhara.

Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya
Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la
Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa
Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na
ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.

Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo
ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa
wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.

Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00
alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C
lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na
kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo
maeneo hayo.

Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma
aliishia kumfagilia Kitwanga “Mawe Matatu”, akidai kuwa anapambana na
ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii,
lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu
ya maslahi yao binafsi.
 
VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.

Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.

Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.

Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00 alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo maeneo hayo.

Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma aliishia kumfagilia Kitwanga "Mawe Matatu", akidai kuwa anapambana na ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii, lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
jiandae kisaikolojia kwamba chama cha magamba kina chini ya miaka miwili kuwepo! ni chama mfu...hizo propaganda nyingine hazitakusaidia
 
mleta huu uzi ni mmbea,mini npo mwanza chadema huku ni noumaaaaaa

Hongera mwenzetu umejigawa mwanza nzima. Acheni kuongopea watu eti cdm ni noma utafikiri hatujui.. Mshachoka mapema
 
VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.

Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao kidogo, baada ya Diwani wa Kata ya Buselesele wilayani Geita, aliyetajwa kwa jina moja la Kagoma, kutumia muda mwingi wa hotuba yake kumfagilia Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga kwa kuchapa kazi za maendeleo na kupambana na ubadhirifu kwenye halmashauri hiyo.

Hatua hiyo, ilionekana kuwakera wananchi waliotaka kujua mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwaeleza nini, kutokana na madai kuwa wamekuwa wakifanya mikutano na kuishia kutoa lugha za matusi.

Dalili za kukosa watu katika mkutano huo, uliotakiwa uanze saa 9:00 alasiri, zilianza kuonekana wakati gari la matangazo na lile la M4C lilipowasili kwenye kituo cha daladala cha Misasi kwa mbwembwe na kujikuta wakizomewa na wapiga debe na baadhi ya wananchi waliokuwepo maeneo hayo.

Akihutubia mkutano huo kwa kusoma alama za nyakati, Diwani Kagoma aliishia kumfagilia Kitwanga “Mawe Matatu”, akidai kuwa anapambana na ubadhirifu kwa sababu anataka wananchi wapate huduma bora za jamii, lakini baadhi ya viongozi wa chama chake (CCM) wanampiga vita kwa sababu ya maslahi yao binafsi.
Dah umbeya mwingine ni shida sana yaani heading na content ya ndani ni tofauti sana yaani mkutano ulikuwa na watu wachache sana afu waliozomea ni akina nani? naona mahitaji ya tumbo lako ndo yamekufanya upost utumbo
 
CCM naona wamemchukua huyu balozi kwa "mkopo"

IMG_2864.JPG
Na hiyo scarf alivalishwa na bibi kizee
 
CCM yazomewa karibu kila kona nchi nzima hao wanaozomea Chadema ni CCM.

Diwani wa cdm alipomtaja mbunge wa maccm akazomewa. Taarifa inayokuja ni cdm wamezomewa na sio neno ccm limesababisha diwani azomewe! Duh, au kiswahili kigumu sana siku hizi?
 
safi sana nawapongeza wananchi waliotoa somo hilo kwao kuwa hawana jipya na hawawataki na pia wamekataa kupokea viroba.
 
vp uyo balozi ni wa ccm nn au nimemsahauuuuuu
 
Kauli yako ni sawa na kusema BABA AZOMEWA NYUMBANI KWAKE....
 
Back
Top Bottom